Kuchomeana kwake ndo wanavimbiwa? Yaani wanachomeana mpaka wanavimbiwa kuchomeana?Upotoshaji KAZI KWELIKWELI......
Mama ameongea mengi akitaja MUHALI.....
Ile hali ya kutoambiana ukweli kwa KUOGOPANA NA KUHOFIANA kutoudhiana.......
Amefuatilizia na kukanyana kuhusu ile tabia ya BAADHI YA MAWAZIRI/NAIBU MAWAZIRI kwenda "kuchomeana" kwake.....hapa ndipo KILA MTU ALE UREFU WA KAMBA YAKE na si vingi nevyo......
#Siempre JMT🙏
Upotoshaji KAZI KWELIKWELI......
Mama ameongea mengi akitaja MUHALI.....
Ile hali ya kutoambiana ukweli kwa KUOGOPANA NA KUHOFIANA kutoudhiana.......
Amefuatilizia na kukanyana kuhusu ile tabia ya BAADHI YA MAWAZIRI/NAIBU MAWAZIRI kwenda "kuchomeana" kwake.....hapa ndipo KILA MTU ALE UREFU WA KAMBA YAKE na si vingi nevyo......
#Siempre JMT🙏
Wale ila wasivimbewe! Hata hii mikopo najua ni ya kula tu!Utaupasua moyo wako bure.....
Nchi haijaanza awamu ya 5.....
#Siempre JMT🙏
Amuunge mama au akuunge wewe wezi nyie.Acha kupotosha mkuu,mama hakumaanisha hivyo,pole Sana
Nauza hizo kofia,njoo nikuuzie umuunge mkono mamaView attachment 2079534
Punguza jasiba mkuu,mzigo bado upo,njoo pm tuungane kumuunga mkono mama.Amuunge mama au akuunge wewe wezi nyie.
Tumlaumu mbowe maana chadema ndio sabab ya yote haya..hahahaSiyo kwa viongozi tuu, Mtu yeyote yule anayeongea kabla ya kupanga nini cha kusema, wapi pa kusemea, na namna ya kusema ni mtu mropokaji. Bahati mbaya kwa Tanzania ni kwamba hao ndio viongozi.
Na pia sio lazima Rais aandikiwe nini cha kuongea, hapana! Muhimu ni yeye mwenyewe kujiandalia nini cha kuzungumza. Vladmir Putin anajiandikia hotuba zake yeye mwenyewe, na hajawahi kutoa boko.
Hapo aliposema kuwa 'wajipimie' nimecheka sana halafu ghafla machozi yakanitoka.
Nimemsikia Rais Mama Samia anasema kila mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake akiwambia kikao na Mawaziri wake, sijuwi amemaanisha nini kwamba mawaziri sasa wataanza kugawana rasilimali na mapato?
Emu tujielekeze hapa kidogo wale watu wenye taaluma fasihi, Mama kila siku anatoa kamsemo mpya mpya
Natanguliza shukurani
Upotoshaji KAZI piKWELIKWELI......
Mama ameongea mengi akitaja MUHALI.....
Ile hali ya kutoambiana ukweli kwa KUOGOPANA NA KUHOFIANA kutoudhiana.......
Amefuatilizia na kukanyana kuhusu ile tabia ya BAADHI YA MAWAZIRI/NAIBU MAWAZIRI kwenda "kuchomeana" kwake.....hapa ndipo KILA MTU ALE UREFU WA KAMBA YAKE na si vingi nevyo......
#Siempre JMT🙏
Kamfukue umfufue. That idiot is gone for good .wanatucheka balaa toka kupoteza kiongozi mwenye vision
Ameshindwa hata kufanya uchanganuzi kidogo...tuna shida ya uelewaUtauvimbisha moyo wako upate CARDIOMEGALY bureeee......🤣🤣
Mama yuko poa sana.....
Unapandishwa jazba KIRAHISI kwa KUDOKOLEWA maneno ya UPOTOSHAJI ?!!!😳