Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,122
- 5,104
Kwa sasa hivi SSH ana- 'grapple' na 'government coordination'.. Wengi wa Mawaziri wake wanakosa ubunifu hivyo kufanya 'vision' za SSH kutekelezwa kwa mwendo wa kobe au ndivyo sivyo..
Hapa ndipo ilipotakiwa 'robust opposition' kuwaamsha..
Pia asisahau bado mawazo ya baadhi ya Mawaziri wake yapo katika uchaguzi mkuu wa 2025 hivyo bado atapambana nao sana..
“Robust opposition” is a dead concept in Tz. Vyombo vya dola vyote vimeandaliwa kuangamiza upinzani katika namna zake zote. Legacy of 2019 & 2020.