Sitawafundisha Kila kitu ila Inauma sana Kuona Nchi jirani ya Zanzibar wao wakiongezwa Posho na Kiasi cha Mshahara Huku mabwanyeye wa Tanzania Bara wakituacha kama Vile sisi ni Matahira na kutupa ahadi zisizokuwa na kichwa wala miguu..
Hoja ya wafanyakazi sio Kuona Show ya Dogo Janja wala Show ya Wadudu..
Ni kupata Maslahi yao Na kuheshimiwa..
Report ya The chanzo inaonyesha Wafanyakazi wanachangia zaidi ya 55% ya Kodi yote Nchini Kwanini wasiheshimiwe??
View attachment 2978651
Mwaka jana Waliahidiwa kwamba ukifika mwaka Huu watapata Package Tamu na Yenye kueleweka ila hola
View attachment 2978653
Kivideo cha kuongezwa package
View attachment 2978654
Mwaka Umefika na hakuna Package Nzuri ya Kupandisha Mishahara Kama tulivyoahidiwa..
TUNAUMIA TUMECHOMA..
SASA UKIPATA CHANCES YA KUTAFUNA PESA HAPO ULIPO ZITAFUNE MAANA HAWAJALI