Rais Samia: Kuagiza sukari nje ya nchi ni upotevu wa pesa

Hizi ndio vitu watu wafanye walime NK ,hivyo nategemea watoto wao na Sisi wengine tufanye hivyo badala ya kuwapa watu WA nje. Na Kwa DP weldi na Adinan angefanya hivyo.
 
Utadhani msomali alimpa Lucas Mwashambwa vocha ya elfu kumi kwa alivyokua anamtetea.
Acha uongo wako wewe.Mimi sijawahi kuzungumza lolote lile wala kuandika chochote kile juu ya sakata hilo la sukari. Kama una ushahidi wa mimi kuzungumza kitu chochote kile kuhusu sukari basi weka hapa.
 
Bashe: mashamba ya kulima miwa nchini yabadilishwe kuwa mashamba ya mpunga.

Sasa Rais na waziri Wana uono tofauti na waziri Bado Yuko Ofisini.

Kwako Lucas Mwashambwa
 
Leo mnampinga Mpina kesho mnakubali mtu mwingine akiongea...
 
Halafu akitekeleza apate wapi 10% ya kuagiza nje sukari fake?

Apate wapi pesa chafu za kuendelea harakati zake kusaka Urais?
Maelekezo ya Rais ni Amri.ukipuuza lazima uende na maji.
 
Bashe alisema afadhali mashamba ya miwa yageuzwe kuwa ya mpunga ili tuendelee kuagiza sukari. Rais anasema kuagiza sukari nje ni upotevu wa pesa. Inafikirisha mtu yule yule aliyetaka mashamba ya miwa yafe, anapewa jukumu la kutayarisha sera ya kuaendeleza. TZ vituko kila kukicha.
 
Maelekezo ya Rais ni Amri.ukipuuza lazima uende na maji.
Usisahau pia kuwa, Magu pia alikuwa Amiri jeshi mkuu, lakini alipiga goti Kwa wananchi kuomba kura.

Ndipo ujue, wananchi ndio bosses wa Rais!!
 
Ningekuwa mm ndio Bashe ningejiuzulu hapo hapo.
 
Kitu ambacho Mhe. Waziri wa Kilimo alichokosea ni kuruhusu kuagiza sukari zaidi ya mahitaji ya nchi huku viwanda vya ndani vikikosa mahali pa kuuzia sukari waliozalisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…