Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Kwenye vyombo vya habari tv,,redion nchi imegeuka mapambio na kusifu atar sanaRaisi wa Kenya yupo Washington DC kashapata $500M na wawekezaji wa technology wakubwa. Nchi ina katiba mpya
Mama yetu hatuna katiba, badala ya kutengeneza wafanyabiashara Mama anatengeneza machawa tu. Sasa kila mtu atatoa nyimo zinaitwa Mama 🤣
NonsenseRais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mara nyingi anapokwenda nje ya Nchi huwa anafuatana na jopo la Wafanyabiashara lakini kwa sasa anataka kugeuka kidogo na atakuwa anasafiri pia na Wasanii ili kuwapa nafasi ya kujifunza zaidi kutoka nje ya Nchi na kutanua wigo wa kazi zao.
Rais Samia amesema hayo usiku huu wa leo May 25,2024 wakati akishiriki uzinduzi wa album mpya ya Msanii Harmonize katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambapo amesema “Tunapofungua Nchi Wageni wanakuja kwetu na sisi tunakwenda kwao na mara nyingi ninapokwenda kwao huwa nafuatana na jopo la Wafanyabiashara, sasa nataka kugeuka kidogo nataka sasa niwe nachukua Wasanii”
“Nataka nifuatane na Wasanii inategemea ratiba yangu kule nakokwenda lakini kila ninapokwenda kukiwa na matamasha ya utamaduni nitabeba Wasaniii lakini zaidi nitakuwa na safari keshokutwa na moja ya kazi ninayokwenda kuifanya ni kutafuta nafasi za mafunzo kwa Wasanii wetu hasa Waigizaji”
“Tunakwenda Korea na mnawajua ni Wazuri sana kwa kuigiza, michezo yao naona inatambatamba kwenye TV zetu, kwahiyo tunaenda kutafuta nafasi za mafunzo na nadhani tutafanikiwa”
Unacheza na ndele weyeHarmonize ana hadhi gani mpaka rais ahudhurie uzinduzi wa albam yake?
Mkuu vijana au wazee wa kitanzania hatuna chuki na wasanii kabisa hata kama wakipewa pesa na mama pamoja na kwamba wanakuja kututambia sisi wenyewe tunaokamuliwa, tatizo lipo hapa bado nchi ina shida nyingi sana ambazo kama kiongozi mkuu inapaswa kuwekeza nguvu zake ili nchi ikae sawa mzee kuna mengi sana hii nchi haipo sawa ku mention yote ni kujipa stress zingine humu jf. Ki ufupi hatutendewi haki kabisa watu wanateseka aisee hali ya maisha ngumu sana labda kwa nyie wengine yako vizur kiasi kwamba unaona sawa yanayotokea......Watu mna chuki na wasanii kama waliwalia vyenu,
Kwanini hamtaki wafaidi keki ya Taifa wajameni?
Chuki za nini sasa hivi mnajisahaulisha ya kwamba mama Kizimkazi ni bonge la actor kwenye Loyo tour?
Kwanini asiwape na fursa wengine kama nafasi ipo,
Ni wivu na Roho mbaya tu!
😁😁
Sasa ipi tena! Wale aliokwenda nao India wasanii wa Bongofleva hawakunogesha ziara?Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mara nyingi anapokwenda nje ya Nchi huwa anafuatana na jopo la Wafanyabiashara lakini kwa sasa anataka kugeuka kidogo na atakuwa anasafiri pia na Wasanii ili kuwapa nafasi ya kujifunza zaidi kutoka nje ya Nchi na kutanua wigo wa kazi zao.
Rais Samia amesema hayo usiku huu wa leo May 25,2024 wakati akishiriki uzinduzi wa album mpya ya Msanii Harmonize katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambapo amesema “Tunapofungua Nchi Wageni wanakuja kwetu na sisi tunakwenda kwao na mara nyingi ninapokwenda kwao huwa nafuatana na jopo la Wafanyabiashara, sasa nataka kugeuka kidogo nataka sasa niwe nachukua Wasanii”
“Nataka nifuatane na Wasanii inategemea ratiba yangu kule nakokwenda lakini kila ninapokwenda kukiwa na matamasha ya utamaduni nitabeba Wasaniii lakini zaidi nitakuwa na safari keshokutwa na moja ya kazi ninayokwenda kuifanya ni kutafuta nafasi za mafunzo kwa Wasanii wetu hasa Waigizaji”
“Tunakwenda Korea na mnawajua ni Wazuri sana kwa kuigiza, michezo yao naona inatambatamba kwenye TV zetu, kwahiyo tunaenda kutafuta nafasi za mafunzo na nadhani tutafanikiwa”
Sanaa kwa sasa ndio uwekezaji mkubwa kuliko viwanda kwani huko utapata kura za wasanii na wafuasi wao.Mama nasafiri kwenda Korea kuombea wasanii wetu kwenda kujifunza kuigiza..badala ya kwenda kuomba makampuni makubwa ya kikorea kuja kuwekeza.
Kumbe ni pisi kali kabisa jana alipendeza sana nashauli apendeze hivyo ata akiwa inje ya inchi,mm nilikua na muangalia yeye tu alivyo pendeza mengine sikuyasikia.Watu mna chuki na wasanii kama waliwalia vyenu,
Kwanini hamtaki wafaidi keki ya Taifa wajameni?
Chuki za nini sasa hivi mnajisahaulisha ya kwamba mama Kizimkazi ni bonge la actor kwenye Loyo tour?
Kwanini asiwape na fursa wengine kama nafasi ipo,
Ni wivu na Roho mbaya tu!
😁😁
Nchi ya kisaanisanii ruHivi mama yetu anajua namna watanzania wanavyowachukulia wasanii na sanaa hapa Tz?
Laiti kama angejua sifa kubwa za wasanii wa tz ni uhuni, umalaya, ulevi, utapeli na ujanja ujanja, huenda asingetoa hiyo hotuba.
Nchi inawanoa watoto vijana wawe wakata mauno tuAngewapeleka vijana wakonolewe kwenye teknolojia, kilimo ,ufugaji, ...leo.mafuriko yanapita ,mwaka kesho ukame,tunalia njaa...yaani tuna matatizo ya ajabu,tunahangaila.na Tamthlia !
KAbisa mkuuIfike mahali mabe yoh atuombe msamaha
Naanza kuelewa waliokua wanapinga
Tunahangaika kuwainua wakTa maunoAngewapeleka vijana wakonolewe kwenye teknolojia, kilimo ,ufugaji, ...leo.mafuriko yanapita ,mwaka kesho ukame,tunalia njaa...yaani tuna matatizo ya ajabu,tunahangaila.na Tamthlia !
Hata mi nilishangaa sana.Harmonize ana hadhi gani mpaka rais ahudhurie uzinduzi wa albam yake?