Kwana namna hii bora wale walio kua wanapinga kua asibadili kwenye nafasi ambayo yupo sahvi wangefanikiwa tu zoezi lao
 
Yaonekana safari za nje ni moja ya mipango ya maendeleo ya nchi yetu. Imenishanganza. Rais wetu anaahidi kusafiri na wasanii nje ya nchi, hata siyo ziara za ndani mikoani, nje ya nchi!

Ilikuwa ni kawaida sana kwa Rais Mobutu kusafiri na wasanii na hasa anapokuwa ktk ziara za nchi za kiafrika. Franzo Rwambo ni mmoja watu walionufaika na safari hizo.

Imekuwaje Rais Samia anatamani kusafiri na wasanii kama Mobutu? Yaani rais anaamini kuna manufaa ktk safari na wasanii? Wakirudi wakiwa wameiga ya huko ni neema kwa wa-TZ au nini hiki? Tumuombe rais asafiri na watu wanaoweza kuinua maendeleo ya nchi ambalo ndo lengo la safari hizo. Hizo siyo safari za kitalii.

Tafadhari, rais safiri na wakulima, wansayansi waalimu. Kuanza mambo ya wasanii, tunaanza kuwa na wasi wasi nyingine ya mwelekeo wa nchi.
 
Kama nchi yenyewe inaendeshwa kisanii na kibabaishaji; hata sishangai kwa kweli.
 
Ni type ile ile. Extravagant with nothing to show.

Ndio maana wanajipa majina mengi kama Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa za Banga

Wetu majina mengi pia Saa100 Hanganya Kizimkazi Bitozo
 
Tanzania inaelekea kuwa kama kongo Enzi za mobutu
huoni kila mtoto /kijana anataka kuwa mkata uno

ova
 

 
Anatafuta sababu ya kusafiri na Shilole? Rais wote waliotoka Pwani kwenye historia ya nchi yetu wameikosesha Ikulu na urais hadhi.
 
Mama angu nakupenda sana lkn hapo umekosea sana sana wewe kweli una time ya kwenda katika mambo ya kijinga waziri wako wa michezo anafanya kazi gani ,baada ya kukaa na kufikiria mambo ya maana unakwenda katika upuuzi .Nchi haina UMEME .MAJI .BARABARA .AFYA Mambo ni mengiiiii sana .Rasi samia suluhu unataka maendeleao ya kweli weka UMEME wa Uhakika Maji ya Uhakika bila ya energy ya kutosha yote hayo ni bure tu .Weka Dar iwe hub ya biashara iwe Business Center Punguza Ushuru weka 5% kwa Wazawa uangalie mambo .Wazambiya .Wamalawi .Waruanda Wakongo na Majirani wote watakuja TZ kununua vitu .Ongeza mishahara kwa wote weka usalama wa kutosha yoyote atakaeiba unamfunga na kumfilisi kila kitu hiyo ndio adabu yao .Waziri yyote mpe miezi sita hadiilivari basi out weka mwengine mpk utapata watu wazuri.Nina mengi ya kusema iwish nikuone.
 
Nina mashaka makubwa Sana juu ya Watu wa karibu ambao wanafanya kazi Ikulu katikà Ofisi ya Rais, hawamshauri vizuri Rais kiasi Cha kumfanya Rais huyo aonekane kama kituko mbele ya jamii. Very sad indeed!
Atakuwa ni yule Ndugu Waziri Rajab Salum,katibu wake binafsi.
 
Hivi mama yetu anajua namna watanzania wanavyowachukulia wasanii na sanaa hapa Tz?
Laiti kama angejua sifa kubwa za wasanii wa tz ni uhuni, umalaya, ulevi, utapeli na ujanja ujanja, huenda asingetoa hiyo hotuba.
Yee mwenyewe mjanja mjanja.
 
Safi sana Rais wetu Samia kwa upendo unaounyesha kwa wasanii, kwa miaka yote wasanii wamekuwa wakidharaulika ila sasa wanaenda kuheshimika ahsante
 
Hebu toka hapa kama huna vitu vya msingi vya kuandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…