Tetesi: Rais Samia kubadilisha Baraza la Mawaziri hivi punde

Simbachawene kateuliwa kwenda utumishi wakati na bunge la bajeti na ndio aliwasilisha bajeti ya wizara ,unafikiri alihusika kuiandaa?
 
Sahau
 
Simbachawene kateuliwa kwenda utumishi wakati na bunge la bajeti na ndio aliwasilisha bajeti ya wizara ,unafikiri alihusika kuiandaa?
Baadhi ya Wizara sio ngumu kama Tamisemi, Maji, Maliasili, Ujenzi na Miundombinu n.k

Hiyo Utumishi is not that difficult
 
Hamuondoe na Dugange, yule naibu waziri anayehusishwa na kifo Cha mwanafunzi Ili uchunguzi ufanyike kihalali.
 
Kama nikuwafukuza tu boraawaache tunachotaka pesa walizochukua nyingi wanazohawa wafikishwe mahakamani warudishe pesa zetu ndiomuhimu kwasasa mama atambue watu wametulia lakini hasira tulizonazo nikubwa sana nalingine amshauri kairuki alicho ahidi bungeni atomize hukumitaani kunabaadhi yawatu wanatuma pesa Dodoma kwa ajili ya ajira zilizo tangazwa msimamo wake utende haki sifa ndio iteue sio utashi nawazo LA zigaiwe kwa majimbo litasaidia sana kama tutaendelea nautaratibu tunaweza kuwa nahata jeshi bovu tena lawaoga sisi ambaotupo nje tunaona mambo mengi sana yahovyo kabisa mama jitahidi naamini utaweza unatiamoyo
 
Kutengua bila uwajibishaji ni bure tu na atakayeingia atapiga anajua atatenguliwa ila atakuwa kakusanya pesa ambayo kwa mshahara wake asingeikusanya kwa miaka 100
 
Baadhi ya Wizara sio ngumu kama Tamisemi, Maji, Maliasili, Ujenzi na Miundombinu n.k

Hiyo Utumishi is not that difficult
Bajeti zote zimeandaliwa na wataalamu wa wizara kazi ya waziri ni kuiwasilisha tu kwa kuisoma. Hakuna cha wizara ngumu wala nyepesi. Kwa hiyo unataka kusema Ummy ana uwezo wa kuandaa bajeti ya wizara ya Afya kwa kujua mahitaji ya kila idara?
 
Waziri akikaa muda mrefu na Wizara moja, anakuwa familiar na mambo ya Idara yake.

Ila ngoja tuone kama kweli hayo mabadiriko yatafanyika au ni mpaka Bunge la Bajeti liishe
 
Na yule Waziri mdogo mdogo hivi wa ajali ya gari UDOM awe kenge kwenye msafara wa mamba
 
Hamuondoe na Dugange, yule naibu waziri anayehusishwa na kifo Cha mwanafunzi Ili uchunguzi ufanyike kihalali.
Vitu minor sana hivi, wote hao ni watu wazima kama ni kweli na pengine kila mmoja alikuwa na mahusiano yake. Kufanya maamuzi ya namna inayosema ni kuingilia faragha za watu
 
Inaelekea we Mzee N mwizi sana , hizo errors ulizo zisema ni hazikubaliki kabisa, Huwezi kuandika invoice Haina tarehe, itakuwa invoice ya nmana Gani hiyo , CPA kabisa wa kwenye idara au taasisi kwenye document za malipo haweki muhuri wa PAID, kweli ni accountant wa namna Gani? Lazima utakuwa ni mwizi TU
 
Simbachawene kateuliwa kwenda utumishi wakati na bunge la bajeti na ndio aliwasilisha bajeti ya wizara ,unafikiri alihusika kuiandaa?
Itakuwa amejisahau TU, wanaofaya kazi ni makatibu wakuu na manaibu, waziri anatakiwa kujua kusoma na kuandika na kununua PhD udom basi
 
Kwa hiyo hao wagomvi wa Magufuli hata kama ni mafisadi waliotajwa na CAG awaache asiwaridhi waendelee kupiga kodi za wananchi kwa raha zao yaani mlivyo na chuki na Magufuli mko tayari hata mtete mafisadi yaliyokuwa na ugomvi wa kutumbuliwa na Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…