Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali tumesha mshauri bibi kasema hamuweki kwenye list,Na yule Waziri mdogo mdogo hivi wa ajali ya gari UDOM awe kenge kwenye msafara wa mamba
Nakula kwa urefu wa kamba,kamba yangu sio ndefu sanaInaelekea we Mzee N mwizi sana , hizo errors ulizo zisema ni hazikubaliki kabisa, Huwezi kuandika invoice Haina tarehe, itakuwa invoice ya nmana Gani hiyo , CPA kabisa wa kwenye idara au taasisi kwenye document za malipo haweki muhuri wa PAID, kweli ni accountant wa namna Gani? Lazima utakuwa ni mwizi TU
Kwa hiyo unaunga mkono mafisadi kweli kuna watanzania akili hawana kama wewe hujielewi kumtetea fisadi anaekuibia kodi zako na kukusababishia bidhaa kupanda beiNakula kwa urefu wa kamba,kamba yangu sio ndefu sana
Hata wewe ukipewa nafasi utakula ,Shida ndio zinakufanya upige kelele
Lakini pesa inaleta comfortability fulani na kujiamini mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la watanzania ni wivu umewajaa sanaKwa hiyo unaunga mkono mafisadi kweli kuna watanzania akili hawana kama wewe hujielewi kumtetea fisadi anaekuibia kodi zako na kukusababishia bidhaa kupanda bei
Bado unaendelea na utetezi wa kinafiki mpaka Rais Samia kasema stupid wewe unasema ripoti ya CAG ni kawaida kweli siongei na wewe mbumbuu usiye na uchungu na nchi yakeTatizo la watanzania ni wivu umewajaa sana
Wewe umewahi fika Mbweni Dar au Ununio Dar
Sasa huko kuna mahekalu ya wafanyakazi wa serikali na hakuna kuulizana umepata wapi pesa na maisha yanaendelea tu watu wanakutana kanisani au kwenye jumuia za kusali jumamosi
Kwa hiyo watu wote waishi nyumba za nyasi au?
Umeambiwa report ya CAG,CAG siyo hakimu au jaji wa kuthibitisha wezi
Wewe mwenzako akipata pesa wewe unaumia kitu gani?
CAG anaelezea mapungufu aliyoyaona lakini mengi yanajibika na kurekebishwa
Kila mwaka CAG anaongea na watu wanarekebisha
Ndio maana JPM alimpiga chini Assad prof kwa kutaka kujifanya hakimu na Jaji
CAG siyo hakimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana wewe hujawahi lambishwa asaliAkitikisa vile visiki nguli akaving'oa atapata political mileage kubwa sana
Haha wewe mgeni hapa JF kuna watu wa propaganda humuBado unaendelea na utetezi wa kinafiki mpaka Rais Samia kasema stupid wewe unasema ripoti ya CAG ni kawaida kweli siongei na wewe mbumbuu usiye na uchungu na nchi yake
Aligusa sharubu za simba!?BIbi kasema na Ruagwa naye amampumzisha
Mkuu wamekuwahi?Ni kweli
Unajua hapa TZ wanapenda siasa za kufurahisha jamii kama za JPMMkuu wamekuwahi?
Wapi?Mkuu wamekuwahi?
Thubutu hana jeuri hiyo,Sababu yeye mwenyewe hapo alipo kawekwa na baadhi yabMawaziri,kama vile walivyomfanya Magufuri kuwa Rais,matokeo yake alipowatoa naye wakamtoaKufuatia ripoti ya CAG kuonyesha upigaji mkubwa wa fedha za umma, Mh Rais Dokta Samia Suluhu Hassan anatarajia kutengua uteuzi wa mawaziri ambao wizara wanazozisimamia zilionyesha upigaji mkubwa. Aidha, wakurugenzi ambao halmashauri zao zilipewa hati chafu nao watafyekelewa mbali na panga la Mh Rais. Na wale waliopata hati zisizoridhisha watahamishwa vituo vyao vya kazi ili kupewa nafasi ya mwisho kujirekebisha.
Kana kwamba hii haitoshi, inasemekana vigogo wote ambao walihusika moja kwa moja au kwa kushindwa kusimamia taasisi zao na kusababisha upotevu mkubwa wa fedha za umma, nao watasombwa na mafuriko haya na wengi wao watafikishwa kwenye vyombo vya kisheria kuchukuliwa hatua zaidi za kisheria. Moto wa mama umewaka. Waliodhani anatania siku alipochukia na kuwatukana stupid, msidhani alikuwa anatania. Mbivu na mbichi lazima zijulikane. Hakuna hata mtu mmoja atakayechezea fedha za umma akabaki salama. Taarifa hizi zimepenyezwa na watu walio karibu na utawala.
MAONI YANGU
Namuunga mkono mama Dr Rais Samia kwa kuwachukulia hatua watendaji waloshindwa kuzuia ubadhirifu wa fedha za umma pamoja na kuwashughulikia mafisadi wote lakini nashauri jambo hili lifanyike kwa umakini mkubwa kwa kuhakikisha kwamba ni wale tu waliohusika na uzembe au ubadhirifu ndio wanachukuliwa hatua kali. Isitokee watu wasiohusika kuingizwa kwenye mkumbo. Utawala washeria sharti uchukue nafasi yake.
Nawasilisha.
Halafu na asali ya katoto kabichi ka Sinhida!Mshana wewe hujawahi lambishwa asali
Asali ni tamu sana kwa afya
Asali ya land cruiser series LC 300
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuu. Wale jamaa asipowang'oa watamharibia sana kwenye uchaguzi wa 2025. Lakini ngoja tusubiri tuone jinsi itakavyokuwa kwa kuwa yeye ndiye mwenye maamuzi ya mwisho. Tusiandikie mate ilhali wino upo.Akimtoa nchemba tu na makamba urais npaka 2040