Rais Samia kuhudhuria mazishi ya malikia Elizabeth II

Rais Samia kuhudhuria mazishi ya malikia Elizabeth II

Raisi ahudhurie au asihudhurie kama umepigika utapigika tu. Mengine ni wivu tu. Huu msiba ni wa kiongozi wa jumuia ya madola, raisi yeyote wa kuanzia Nyerere hadi JK ungewakuta madarakani wangehudhuria isipokuwa JPM asingeenda kwa sababu za kiafya na si vingine. Acheni wivu
 
Kwani kulikuwa na ulazima wa yeye kwenda ? Na amekwenda kwa ajili ya msiba tu au kuna mambo mengine ya muhimu ata fanya huko ?
 
Zanzibar diaspora ya London ni kubwa sana. Watampokea vizuri.
 
Foolish MENTALITY..
Nyie ndio mnaosababisha hizi nchi masikini zizidi kutawaliwa na kudharaulika.

Huo msiba una heshima gan mpaka kuwe na ulazima wa kuudhuria?

Wao mbona hawakuhudhuria misiba ya marais wetu? Utegemezi ndio unaoifanya serikali ya ccm iamini bila kuwanyenyekea mabeberu basi hakuna maendeleo, mnaamin hakuna maendeleo bila kujihusisha na hao waliowatumikishwa kwa mamia ya miaka utumwani.

Futa huu upumbavu wako,
I agree wholeheartedly.

Lakini hiyo slave mentality ni ya huyo Samia mwenyewe, sio ya CCM nzima, much less the whole country.

Mbona JPM hakuwasujudia wazungu ?

Samia Hassan is a diplomatic syncophamt.
 
Huenda nahitaji ushauri au maombi ili nimuelewe! Simuelewi hata kidogo!
Duh!

Aiseeeee. Umenifanya nicheke bila kujizuia!

Mi nakushauri uwasiliane na mkuu 'stroke' wa humu humu JF, pengine anaweza kuwa na ushauri juu ya swala lako.

'Lanlady', una mambo kwelikweli! Na bado naendelea kucheka, siwezi kujizuia nisicheke nikisoma mstari huo hapo juu uliouandika wewe.
 
Hivi wewe unahudhuria msiba ili ukatambulike na watu. Ndivyo wewe unavyofanya unapohudhuria misiba ili wakuone upo.ajabu!
 
I agree wholeheartedly.

Lakini hiyo slave mentality ni ya huyo Samia mwenyewe, sio ya CCM nzima, much less the whole country.

Mbona JPM hakuwasujudia wazungu ?

Samia Hassan is a diplomatic syncophamt.

JPM lugha ilimpiga chenga. Angeenda kujiaibisha tu huko.
 
Wewe una tatizo kubwa linalohitaji matibabu maana huelewi hata historia yetu na uingereza
Hebu msaidie mkuu 'Lucas Mwashambwa', badala ya kumsuta kama unavyofanya hapa.

Yeye mwenyewe kaeleza kwamba anatafuta ushauri, basi mpe elimu unayoijuwa wewe. Hapo utakuwa umemsaidia, kuliko hivi unavyofanya hapa. Huyo mtu wako unayempigania sana hapa, bila shaka angekuona umefanya kazi ya maana zaidi kumgeuza mtu anayemchukia kuwa mtu anayempenda, kama unavyompenda wewe.
 
JPM lugha ilimpiga chenga. Angeenda kujiaibisha tu huko.
Kuna watu ukiangalia vichwa vya kwa macho unaona Kila kitu kilichomo ndani wengine inakuwa vigumu kweli kweli kujua kilichomo ndani. Sijui ninaeleweka?
===
Tuheshimu Mamlaka
 
Tuachie Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani anayeendelea kuliheshimisha Taifa letu na kudumisha mahusiano yetu ya kidiplomasia na uingereza, wewe unahitaji matibabu ya kisaikolojia tu
Wakati ukimshauri kupata "matibabu", ni wazi hapo ulipo wewe ni mhanga mkubwa anayetaka msaada huo huo, kutokana na ushabiki uliopitiliza, ni ushabiki wa kichizi!
 
Back
Top Bottom