Rais Samia kukopa(tena) 1billion USD from IMF

Rais Samia kukopa(tena) 1billion USD from IMF

Tofauti ni ipi? Magufuli amekopa sana afdb na world bank na pia pssf (ikiwemo kutopeleka michango). Unajua kwamba ilifika mahali zile bond za serikali kwa wanunuzi wa ndani ilibidi wafanye printing ya hela kulipa faida za waliokopesha serikali?

Huyu mama japo namuona hayupo competent kwa nafasi ya uraisi lakini ameikuta nchi ina hali mbaya sana kifedha. Hata wazo la kuweka tozo kwenye miamala ilikuwa ni katika harakati za magufuli kuhangaika kupata fedha za kuendesha serikali. Nina uhakika asingekuwa amekufa zile tozo zingekuwa kali zaidi ya sasa.

Tukubali kwamba magufuli aliipeleka nchi pabaya sana na ule uongo wake kwamba tunajenga kwa hela za ndani. Kakuta deni la taifa around 32 trillion na amekufa tukiwa 58 trillion, almost double.
Vipi kuhusu exchange rate kwa Magufuli hela yetu imekuwa stable sana! Magufuli was better maana alikopa na vitu vinaonekana in ground!
 
Hata tukiuzwa hakuna wakutununua.

Dunia ya Sasa Serikali kukopa haishangazi, muhimu matumizi mazuri ya hizo fedha.
Tz matumizi mazuri ni msamiati, watu wanatumia hovyo na hawafanywi kitu, refer MSD
 
Shida siyo walaji bali shida ni yeye kuhamasisha ulaji👇🤡🤡🤡
View attachment 2221962
Hili jitu halina ubongo!
20220509_174758.jpg
 
Hivi kwanini hawakopi hizo 1.1 billion dollar na kuua tatizo la umeme nchi nzima, hii mikopo ya kujenga matundu ya vyoo naona kama ni kuongeza umaskini tuu, lakini msishangae unaweza kukuta hata pesa za mishahara hakuna wanatumia hii mikopo kulipa, bongo ni changamoto
 
Leo inabidi niulize swali ambalo wenye uwezo wa kulijibu, huenda watapata wasaa mzuri wa kulijadili.

Hawa akina IMF na WB hutoa mikopo, mara nyingi mikopo ambayo ina riba nafuu, lakini mikopo inayoambatana na masharti ambayo waktati mwingine huwa ni machungu zaidi katika kuyatekeleza ndani ya nchi hizo zinazokopa.

Mikopo ya hizi taasisi ni tofauti na mikopo inayotolewa na mabenki, au maelewano kati ya serikali na serikali, ikiwa ni pamoja na riba kuwa juu, na masharti ya kurudisha hiyo pesa iliyokopwa.
Nchi inapodaiwa na nchi nyingine, mara nyingi huwa ni aibu kwa nchi mdaiwa. Mabenki ya kibiashara, yanapokopesha, halafu nchi ushindwe kulipa, hapo kuna shida kubwa sana!

Sasa swali langu ni hili: Haya mahela ya hawa jamaa wa IMF au WB, tukiyachukua mengi kadri iwezekanavyo, na tukaacha ujuha wetu (wa viongozi wasio na uchungu na nchi), mahela haya yakatumika ipasavyo. Yakajenga mashule, barabara na mambo mengine muhimu ambayo tunaona yatatusaidia kwenda mbele haraka zaidi. Baada ya yote haya, tukawa wagumu wa kuyarudisha mahela hayo kwa wenyewe, IMF na WB, kwa sababu hela kidogo iliyopo kulipa mamikopo yao tunategemea kuifanyia miradi mingine ya kimkakati.

Je, haya majamaa ya IMF au WB watatuitia polisi na kutupeleka mahakamani?Najuwa watakuwa wagumu kuendelea kutupatia mikopo mingine kabla hatujalipa hiyo waliyokwishatupa, lakini tukauma meno, na kukataa kulipa!

Hebu nifundisheni.

Binafsi, haya mahela ya IMF na WB, mbali ya masharti yanayotolewa; haya ndiyo mahela tunayotakiwa kuyazoa kwa wingi, mradi tu tuweze kuyatumia vizuri kwa kazi zetu.
Mimi si mtaalamu wa haya mambo ya fedha na mikopo ya hizi taasisi najaribu kujibu kienyeji.

Jibu: Watalazimisha nchi yetu ijitangaze mufilisi na tuchukue austerity measures kama Ugiriki, Cyprus na Malta miaka ya karibuni.
Hapo siye watu wa chini itakuwa kilio na wawekezaji toka nje watachukua pesa zao wataondoka.

Mifano ni European dept crisis miaka ya 2008 huko kama sikosei.

KEY POINTS from investopedia website:
  • Austerity measures refer to economic policies implemented by governments to reduce government spending in order to reduce public debt and to shrink the budget deficit.
  • Policies that are considered austerity measures include an increase in taxes, cutting back on government programs, such as healthcare services and aid to veterans, a reduction in pensions, and a reduction in salaries and wages for government employees.
  • Depending on how austerity measures are implemented, they can make life difficult for citizens due to less available social services and less disposable income.
 
Nyongeza mkuu Kalamu1.

Dalili ya athari za madeni na kupelekea austerity kutokea ni nchi kuchapisha fedha mpya kujaribu kuziba pengo.
Na sasa tumesikia tetesi humu JF nchi flani inakaribia kuchapisha pesa mpya hali ya uchumi ni tete.
 
Hiyo itakuwa ni stimulus loan kwa ajili ya kusawazisha hali ya kiuchumi.......muhimu ni hiyo mikopo kutumika kuleta tija zaidi.
Watanzania bwana kwenye kulipa utasikia ni sisi wananchi kwenye kulipa wanakimbia kama panya road. Huyo ukimwambia maisha yako umelipa ngapi tax usikute zero na huduma zote anapata na kama kalipa ujuwe kapiga. Kukopa kubaya kama kwa matumizi ya kawaida lakini kwa maendeleo wala sio shida. Ni sawa wewe ukikopa Bank ukajenga poa lakini huwezi kukopa kununulia ugali ujue unashida.
 
Mosi, Sarakasi za Mlimani City ndio nini? Kama ni kuhusu Chadema tafadhali heshimu maamuzi halali ya vikao halali ya Kikatiba vya Chama hicho.

Back to the topic, hii Mikopo inatakiwa ipate kibali cha Bunge. Ijapokuwa Bunge letu no dhaifu sana lakini ilistahili walau litumike tuu kama rubber stamp. Vinginevyo hii ya Mhimili mmoja kujiamulia mambo yake kutakuja kuleta madhara kwa Taifa. Hii mikopo tunatakiwa tujue masharti yake ni yepi? Mkopo huu wa USD 700M ni kwa ajili ya recovery from Coronavirus pandemic , lakini ni mwaka jana tuu tulipata mkopo kama huu tukaishia kujenga madarasa ya Shule. Hakukuwa na pesa iliyoenda ku stimulate economy. Mwaka haujaisha tunaenda kukopa tena. Je, zitaenda wapi?
Kwani mhe Ndungai anasemaje ??!!
 
Hivi na sisi hatuwezi kuomba direct mkopo ukija tupatiwe hapo raia moja kwa moja, nchi ishakua kama kicoba hii
 
She is being wrongly advised, huwezi kukopa ili kustabilize bei ya mafuta ambayo iko nje ya uwezo wako!! Utakopa mara ngapi kwani mafuta yatakuwa yanapanda bei kila leo!! Mtafute mbinu za ndani ili kurekebisha matumizi ya serikali sio mnakopa lakini bado mnaendelea na matumizi yenu ya hovyo!!! Kukopa sio suluhisho.
Baada ya vita ya Kagera kulikuwa na uchumi mgumu lakini Nyerere rallied the country to brace for the hardship; Sasa hawa wakina Msoga wanataka njia rahisi rahisi ya kukopa kuwatwisha mzigo wananchi huku wao hawataki kufunga mikanda!! Samia has a depecency syndrome which is wrong for the country!
Nakumbuka enzi zile baada ya vita vya kagera Mwalimu alisema wananchi wajifunge mikanda kwa miezi 18 lakini baadaye hayati Sokoine akasema tuendelee kufunga mikanda inawezekana ikawa ni kwa miaka 18 badala ya miezi 18 !! Tuliifunga mikanda na tuliizowea ile hali na maisha yakawa yanaenda vizuri tu !!
 
Huyo jamaa The Sunk Cost Fallacy ukimsoma kwa makini kwenye misimamo ni mfuasi wa sera za Magufuli ambae akumuelewa kwanini aliendesha nchi kwa style ambayo anadhani ni ya ovyo.

Ukiacha uchawa aliotumwa huwa ana misimamo ile ile ya Magufuli uhuru usio na mipaka ni hatari kwa nchi, kukopa iwe ni kwa sababu ya miradi yenye tija, ukusanyaji wa kodi sio swala la kumbelezana; na mambo mengine mengi ya kimagufuli.

Tatizo lake aelewi ili hizo azma zifikiwe serikali inatakiwa ifanye mambo kwa namna gani. Kwenye kichwa chake yanatokea tu kwa kutamani badala ya misimamo ambayo itachukiza watu wengi kwenye jamii katika harakati za kuwabadili tabia.

Mpe muda akili zake zitakaa sawa ni utoto tu unamsumbua.
Sijawahi kuwa mfuasi wa Magufuli,never ever,siwezi kuwa mfuasi wa wajaa,mimi ni mfuasi wa Ubepari jamii yaani social democracy na sio ujamaa...

Msingi wa ujamaa ni kuua personal initiative,sifa nyingi na maneno meeengi ya kutiana matumaini wakati kwenye actual things hakuna kitu...

Ndio maana Mwendazake alikuwa anawalisha maneno,propaganda nyingi na hadithi za kufikirika.
 
Huku sarakasi za Mlimani City zikiendelea Serikali ya Samia imeomba mkopo wa 1.1 billion US dollars kutoka IMF kwa mujibu wa msemaji wake Zuhura Yunis, IMF wako nchini kujadili, one thing is clear walipaji wa haya madeni ni sisi wananchi!

View attachment 2221901

Markets
IMF Mission in Tanzania for Talks on $1 Billion Funding Request

An International Monetary Fund team is in Tanzania for talks on the East Africa nation’s request for a three-year financing package of $1.1 billion.

President Samia Suluhu Hassan is seeking the funds to support the nation’s recovery from the coronavirus pandemic, her spokeswoman, Zuhura Yunus, told reporters in the commercial hub of Dar es Salaam on Thursday.


Hassan told Bloomberg News in an interview in March that her administration was seeking at least $700 million from the IMF. Securing additional funding from multilateral lenders is part of Hassan’s wider plan to boost Tanzania’s fiscal position by taking on more concessional loans.

The IMF in September raised the nation’s risk of debt distress to moderate, from low, after the government ramped up commercial borrowings in recent years, including about $1.5 billion from Standard Chartered Plc to help fund construction of a new railroad.
Sina shida na Kukopa na nasema wakope zaidi na zaidi mikopo ya mda mrefu kwa ajili ya miradi tuu,naunga mkono hoja...

Ila kukopa kwa ajili ya kutoa ruzuku kwenye mafuta hapana, Serikali isifanye hili kuna njia nyingi za kupata pesa ya Ruzuku ya Mafuta kama tulivyochangia hapo awali..

Tanzania hii bila mikopo ya miradi ya maendeleo hatutoboi.
 
Back
Top Bottom