Rais Samia kukutana na Baba Mzazi wa Rihanna tunafaidika vipi kama Taifa?

Rais Samia kukutana na Baba Mzazi wa Rihanna tunafaidika vipi kama Taifa?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Wasalaam Mtanzania Mwenzangu!
Naomba uitikie
KILA KITU KITAPANDA BEI!

Nimepita mitandaoni kusoma taarifa mbalimbali zinazoendelea hapa Nchi na ulimwenguni kwa ujmla.
Na nisikatae kwa Juma moja saivi na siku kadhaa kumekua na taarifa inayosemwa sana mtandaoni ni Juu ya ROYAL TOUR!

Nikiwa napita nimepata kuona hii taarifa iliyoripotiwa kua Rais Wetu wa Nchi sio Rais wa TFF au Rais wa WCB, ni Rais wa Nchi amekutana na Baba Mzazi wa Rihanna na ikawa Reported as If ni kitu kilikua kwenye Plan za Mweshimiwa sa Najiuliza kama ilikua ni Plan za Mkuu kukutana Na mzee yule sisi Kama Taifa tunanufaika Vipi na haya Makutano yao?

Najiuliza Leo Rais KAGAME aje Hapa Tanzania akutane na MAMA DANGOTE kweli na iwe Taarifa huko Rwanda?

Screenshot_20220423-082520_Chrome.jpg
 
Hakuna faida kama taifa ila ni kielelezo cha namna gani tuna kiongozi au mtawala asiyejua kwanini yupo hapo alipo au hajali kwanini yupo hapo.........nchi yetu bado Ina safari ndefu sana kuelekea tunapotaka kwenda kama kweli tuna tunapotaka kwenda.........

Nchi ipo katika ombwe la kiutawala......
 
Rais pia ni binadamu kama wewe na mimi ana mambo yake binafsi tofauti hiyo nafasi ya urais
Lakini huko hakwenda kwa ajili ya mambo yake binafsi bali ameenda kwa mambo ya umma wa waTanzania ndio maana ameenda kwa Kodi zetu.....kwa hiyo kila alifanyalo lazima liakisi maslahi mapana ya umma............

Sasa swali linakuja kukutana na baba mzazi wa huyo binti taifa linanufaika vipi.....??
 
Ifike mahali kijani muwe munaweka wazi kabisa kwa wanachi kifikapo kipindi cha uchaguzi kuwa ni zamu ya mtu mwingine kupiga hela za walipa kodi..sio kutudanganya uzalendo wakati mmejaa uchu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Shobo zenu tu waTZ kwani kuna ambaye amewaomba mueneze makutano yao?

Kwani lengo la TOUR ilikuwa kukutana na huyo jamaa au naye ni wagen Kama wagen wengine?
 
Shobo zenu tu waTZ kwani kuna ambaye amewaomba mueneze makutano yao?

Kwani lengo la TOUR ilikuwa kukutana huyo jamaa au naye na wagen Kama wagen wengine?
Shobo ya Rais wetu au ya waandishi wa habari? Usiwazungmzie watanzania kwa ujmla kuna haya makundi mawili tu lazima uwe specific.
 
Lakini huko hakwenda kwa ajili ya mambo yake binafsi bali ameenda kwa mambo ya umma wa waTanzania ndio maana ameenda kwa Kodi zetu.....kwa hiyo kila alifanyalo lazima liakisi maslahi mapana ya umma............

Sasa swali linakuja kukutana na baba mzazi wa huyo binti taifa linanufaika vipi.....??
Ukute ameenda kama miss utalii sa tutajuaje......!
 
Shobo ya Rais wetu au ya waandishi wa habari? Usiwazungmzie watanzania kwa ujmla kuna haya makundi mawili tu lazima uwe specific.
Shobo za watanzania kwani Raisi kawaomba mueneze habari zake kwenye thiedi zenu?
 
Back
Top Bottom