THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
- Thread starter
- #81
Kwahio Rais amekua msemaji wa shirikisho?😂😂Hujasikia Samia kaipeleka Bongo movie huko US?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahio Rais amekua msemaji wa shirikisho?😂😂Hujasikia Samia kaipeleka Bongo movie huko US?
Nongwa kwenye Matumizi ya Kodi za wananchi?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ila wabongo nongwa sana
NdiiKwahio Rais amekua msemaji wa shirikisho?😂😂
Hii imekaaje mkuu@Pep ?Wasalaam Mtanzania Mwenzangu!
Naomba uitikie
KILA KITU KITAPANDA BEI!
Nimepita mitandaoni kusoma taarifa mbalimbali zinazoendelea hapa Nchi na ulimwenguni kwa ujmla.
Na nisikatae kwa Juma moja saivi na siku kadhaa kumekua na taarifa inayosemwa sana mtandaoni ni Juu ya ROYAL TOUR!
Nikiwa napita nimepata kuona hii taarifa iliyoripotiwa kua Rais Wetu wa Nchi sio Rais wa TFF au Rais wa WCB, ni Rais wa Nchi amekutana na Baba Mzazi wa Rihanna na ikawa Reported as If ni kitu kilikua kwenye Plan za Mweshimiwa sa Najiuliza kama ilikua ni Plan za Mkuu kukutana Na mzee yule sisi Kama Taifa tunanufaika Vipi na haya Makutano yao?
Najiuliza Leo Rais KAGAME aje Hapa Tanzania akutane na MAMA DANGOTE kweli na iwe Taarifa huko Rwanda?
View attachment 2197267