Rihana ni Mtu maarufu sana Duniani. Rais hakwenda Marekani kukutana na Rihana wala Baba yake bali jukumu lililompeleka ni pamoja na Uzinduzi wa documentary ya Royal Tour yenye kutangaza vivutio ktk nchi yetu.
Kwa maoni yangu nadhani kukutana na Mtu yeyote maarufu ni jambo jema sana na sio tu Baba yake Rihana bali hata ingekuwa amekutana na Dada yake Rihana.
Kuhusu suala la kukutana na kupewa headlines na baadhi ya media sio issue kwasababu hata kuna matukio ya kawaida sana huu ya Marais wa nchi kubwa kama USA unakuta yanapewa headlines tena kwenye media kubwa tu
MTU YEYOTE ANAYEONA MBALI NA KUANGALIA NJE YA BOX ATAONA NI FAIDA RAIS WETU KUKUTANA NA WATU KAMA HAO.
Tatizo la sisi Tz asilimia kubwa akili zetu zitu zipo limited ndani ya Box, na ikitokea kufikiria nje ya Box tunaziongoza mind zetu KUTAFSIRI NEGATIVITY tu