Rais Samia kukutana na Baba Mzazi wa Rihanna tunafaidika vipi kama Taifa?

Kila kitu mnataka mlipwe hela? Watanzania wazembe sana siku hizi.

Yaani mnamfuatilia Rais Samia kwa kila hatia anayopiga.
 
Kila kitu mnataka mlipwe hela? Watanzania wazembe sana siku hizi.

Yaani mnamfuatilia Rais Samia kwa kila hatia anayopiga.
Unajua anatumia hela za kina na nani katika safari zake asingekua Rais hakuta hata mmoja angemfuatilia ila yupo anasafiri kwa Fedha za watanzania kwahio tuna haki wakujua kila anachokifanya na kila anapopita kwa maslahi mapana ya nchi na kwa kizazi kijacho.
 
Kwa hiyo ulitaka asikutane naye? Usha ambiwa baba mzazi wa mwanamuziki huyo alihudhuria na alienda kutizama uzinduzi wa filamu halafu bado unauliza taifa linanufaika vip? Kwali walio enda kutizama filamu hapo wananufaika vp?

Hahahaaa rais wa ukenya kaja bongo kakutana na baba mzazi wa rich mavoko na kupiga naye picha 😅😅 ila sema tukio lenyewe ni social hivyo ni kawaida tu kukutuana na watu tofauti hapo.
 
Unawez kukuta wewe unaye lalamika hapa wa sio mlipa kodi bali ni mkwep kodi
 
Kwa maoni yangu kwa kuwa ameshika bendera ya taifa letu inaweza kuwa na maana kidogo.
 
kama wewe unavyojisikia furaha unaopiga picha na mchezaji wa timu flan akija mkoani kwenu ndiyo faida yenyewe.
 
K
Shobo za watanzania kwani Raisi kawaomba mueneze habari zake kwenye thiedi zenu?
Wa rais kaenda huko kwa shida zake binafsi au kwa masilahi ya taifa lazima tupate update zote kwa sababu anatumia kodi zetu sisi wananchi.
 
Acheni ushamba. Mwanae ana hela ambazo anaweza kuja kuwekeza Tanzania, acha tuzisake.

Rihanna
Musician
$1.7B

Real Time Net Worth​

as of 4/23/22
#1748 in the world today

Photo by Robert Kamau/GC Images

  • Rihanna, Barbados' most famous export, is a billionaire thanks to the success of cosmetics line Fenty Beauty.
  • The cosmetics company, which she co-owns with French luxury retailer LVMH, generated more than $550 million in revenue in 2020.
  • Her stake in the fast-growing cosmetics company comprises the majority of her fortune.
  • She also has a 30% stake in the Savage x Fenty lingerie line, which raised money at a $1 billion valuation in February 2021.
  • Her high-fashion clothing line with LVMH-also called Fenty--didn't do well and halted operations in February 2021.


Rihanna
 
Dah!Hii ni ya mwaka.Rihanna ni mtumishi wa Shetani kabisa,sasa how come Rais anakutana naye,ili iweje hasa,yeye ni nani?Kuna mengi yaliyojifisha nyuma ya pazia.Rais anajishushia hadhi sana frankly.Umoja Party come,and come quickly.
 
Money,money ,money!Pesa zilimuuza Yesu,na sasa mnataka kuiuza nchi for money, shame on you.You are so evil kiasi kwamba hamjui hata kwamba kuna illicit money.So bankrupt morally.
 
Pengine kuna connection zitafanywa kwa wasanii wetu kupata fursa

wewe unataka akutane na World Bank na IMF pekee ?
 
Comrade upeo wako usiishie Kolomije,hi habari ina letea Wamarekani wasioijua Tanzania sasa kuifahamu.
Utalii ndio inayoingiza fedha nyingi na kuajiri watu wengi kuliko migodi ya Geita na watalii wengi nchi hii wanatoka Marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…