Rais Samia kukutana na Baba Mzazi wa Rihanna tunafaidika vipi kama Taifa?

Rihana ni Mtu maarufu sana Duniani. Rais hakwenda Marekani kukutana na Rihana wala Baba yake bali jukumu lililompeleka ni pamoja na Uzinduzi wa documentary ya Royal Tour yenye kutangaza vivutio ktk nchi yetu.
Kwa maoni yangu nadhani kukutana na Mtu yeyote maarufu ni jambo jema sana na sio tu Baba yake Rihana bali hata ingekuwa amekutana na Dada yake Rihana.

Kuhusu suala la kukutana na kupewa headlines na baadhi ya media sio issue kwasababu hata kuna matukio ya kawaida sana huu ya Marais wa nchi kubwa kama USA unakuta yanapewa headlines tena kwenye media kubwa tu

MTU YEYOTE ANAYEONA MBALI NA KUANGALIA NJE YA BOX ATAONA NI FAIDA RAIS WETU KUKUTANA NA WATU KAMA HAO.

Tatizo la sisi Tz asilimia kubwa akili zetu zitu zipo limited ndani ya Box, na ikitokea kufikiria nje ya Box tunaziongoza mind zetu KUTAFSIRI NEGATIVITY tu
 
Kapeleka posa ya diamond
 
Private Life!
Naona sasa mtafikia hata hatua ya kuhoji atakapoonekana amebeba wajukuu zake mgongoni; "Rais wa Nchi anabebaje wajukuu mgongoni?
 
Waliopinga asiapishwe waliliona hili mapema wacha tuupige mwingi.
 
Angekutana na lianna mwenyewe sawa angarau,sasa baba yake anaweza saidia nini nchi?
 
Usikurupuke.
 
PKuna Rais mstaafu Mzee mmoja wa makamo alikwenda huko mara akaonekana kwenye mabembea, hatukukaa vizuri mara tukamwona kapiga picha na Boys II Men, 50 Cent na Steven Siegel na mpaka leo hatukupata faida yoyote

Sawa
 
Vitu vingine havina hata haja ya kuviripoti. Ni aibu. Hii ni kupatwa kwa uRais!

Les Vasco da Gama (she)
 
Kwamba ukiwa Raisi hutakiwi kukutana na Watu wasio na faida kwa taifa? Kama ni rafiki yake je? Au ni shabiki wa Rihanna je?
Kuna maisha nje ya uongozi
Stress za maisha zimefanya waTZ kulia lia kila kitu. Mwishowe mtauliza hivi Raisi kula kwako kunalisaidia nini taifa
 
Hujasikia Samia kaipeleka Bongo movie huko US?
 
Upangaji wa rangi za bendera haujakaa vema.Bluu ikae wapi?
 
Awamu ya tano ilikuwa na washamba sanaile nyingine pia walienda kupiga picha akina Jay Z.

Na huyu anafauata ushauri toka juu
 
Huyu mnayemuita "mama" ni rimoti ya yule jamaa wa kule msoga, yule aliyekwenda kubembea Jamaica na kupiga picha na Boyz II Men kule Marekani. Actually, huu ni muhula wa tatu wa msoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…