Rais Samia kukutana na Baba Mzazi wa Rihanna tunafaidika vipi kama Taifa?

Kila kitu mnataka mlipwe hela? Watanzania wazembe sana siku hizi.

Yaani mnamfuatilia Rais Samia kwa kila hatia anayopiga.
Yaani atuumize na matozo, kisha akateketeze fedha kwa kuzurura tukae kimya? Kama vipi atumie fedha zake binafsi.
 
Kuna Rais mstaafu Mzee mmoja wa makamo alikwenda huko mara akaonekana kwenye mabembea, hatukukaa vizuri mara tukamwona kapiga picha na Boys II Men, 50 Cent na Steven Siegel na mpaka leo hatukupata faida yoyote
😆😆😆😆Nilishangaa
 
Private Life!
Naona sasa mtafikia hata hatua ya kuhoji atakapoonekana amebeba wajukuu zake mgongoni; "Rais wa Nchi anabebaje wajukuu mgongoni?
Private life kwa pesa za walipa kodi..?

#MaendeleoHayanaChama
 
Yaah..waache kudanganya watu wawaeleze tu ukweli mana ndio wanachokifanya..hakuna mwanasiasa mwenye mapenzi ya kweli na wanachi ni Nyerere tu maybe kwa mbali JPM ila hawa wengine wote wapigaji tu.

#MaendeleoHayanaChama
Ni majizi tupu
 
[emoji38][emoji38][emoji38] Sichangii chochote
 
Private life kwa pesa za walipa kodi..?

#MaendeleoHayanaChama
Kisa kodi za walipa kodi, ulitaka sasa awe anajifungia chumbani kwake tu hata katika muda ambao anakuwa hayuko kwenye official duties, kisa amesafiri kwa kodi za walipa kodi? Hulipi kodi peke yako, wote tunalipa kodi
 
UPDATE: SUNDAY 24TH APRIL 2022

MHUSIKA ANAOMBA KUTOA CHALLENGE (CHANGAMOTO) KWA MAMLAKA ZILIZO JUU YA KANISA A (MAMLAKA AMBAZO KANISA A LIKO CHINI YAKE)


Mhusika anaomba kama kuna uwezekano, mamlaka hizo zifanye uchunguzi wa kina na kujiridhisha kama yale YOTE ambayo huwa yanafanyika Kanisa A wakati wa Ibada HUWA YANAFANYIKA KATIKA NAMNA YA KAWAIDA (normal conduct in Praise and Worship of the Lord) na kwamba mambo hayo huwa yanafanyika KWA NAMNA HIYO HIYO PIA KATIKA NYUMBA NYINGINE NYINGI ZA IBADA zilizopo hapa nchini kwetu; ZINAZOJULIKANA NA MAMLAKA HIZO

MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
Huyu mnayemuita "mama" ni rimoti ya yule jamaa wa kule msoga, yule aliyekwenda kubembea Jamaica na kupiga picha na Boyz II Men kule Marekani. Actually, huu ni muhula wa tatu wa msoga
Inawezekana mkuu maelezo yako yanaendana matendo ya nyakati za utawala huu......
 
afrika tuna viongozi wa ajabu sana, acha wazungu waendelee kutuona hatuna akili. Mtu namba moja wa nchi unakuwa kama mpiga debe kila mtu umshike mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…