Haha..Mama anaenda kuharibu tena..yaani mama akiongea Gz wanapanda molari kabisa.Anajua sana kuchochea kuni.Aje alete mipasho kinuke vizuri
Kwani huu nao ni mpango uleule wa Kongamano la Butiku, au vipi?Hassan atazungumza na wazee wa Dar es Salaam kesho tarehe 2 disemba, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa.
Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan atazungumza na wazee wa Dar es Salaam kesho tarehe 2 disemba, 2025 katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa JNICC kuanzia saa tano asubuhi.''
WAZEE MLIMUONDOA MKOLONI MWEUPE< VIJANA WENU TUNATAKA TUMUONDOE MKOLONI MWEUSIMkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa.
Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan atazungumza na wazee wa Dar es Salaam kesho tarehe 2 disemba, 2025 katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa JNICC kuanzia saa tano asubuhi.''
Akahutubie wanamgambo wakeMkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa.
Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan atazungumza na wazee wa Dar es Salaam kesho tarehe 2 disemba, 2025 katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa JNICC kuanzia saa tano asubuhi.''
Kijambio ni rais🙄🙄🙄Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam tarehe 2 Desemba 2025, saa 11:00 alfajiri, katika ukumbi wa JNICC.
Hotuba hiyo itarushwa moja kwa moja kupitia televisheni na mitandao ya kijamii ya Ikulu.
View attachment 3510284
1. Hakuna Rais TzRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam tarehe 2 Desemba 2025, saa 11:00 alfajiri, katika ukumbi wa JNICC.
Hotuba hiyo itarushwa moja kwa moja kupitia televisheni na mitandao ya kijamii ya Ikulu.
View attachment 3510284
Wazee wa ccmRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam tarehe 2 Desemba 2025, saa 11:00 alfajiri, katika ukumbi wa JNICC.
Hotuba hiyo itarushwa moja kwa moja kupitia televisheni na mitandao ya kijamii ya Ikulu.
View attachment 3510284