Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Samia suluhu ni shameless human being, yaani kapindisha demokrasia mbele ya Dunia halafu anajifanya hajui kinachoendelea. Who does that?
 
Huyo siyo Rais wa nchi hiii ni adui namba moja wa taifa hili.

Badala ya kuleta mipasho yake wakati huu anatakiwa kuwa anawajibika kwa maovu aliyowafanyia waTanzania.
 

Nani anasikiliza wazee machawa! zilipendwa wazee hawana busara tena
 
WAZEE MLIMUONDOA MKOLONI MWEUPE< VIJANA WENU TUNATAKA TUMUONDOE MKOLONI MWEUSI
 
Akahutubie wanamgambo wake
 
Labda anapanga kutangaza kujiuzulu au atatangaza kuwasimamisha kazi watu fulani fulani ili kupooza ukali wa maandamano yajayo. Asizungumzie mambo yaliyotokea Oct 29...maana tume kaunda mwenyewe.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam tarehe 2 Desemba 2025, saa 11:00 alfajiri, katika ukumbi wa JNICC.

Hotuba hiyo itarushwa moja kwa moja kupitia televisheni na mitandao ya kijamii ya Ikulu.
 
Sisi wazeee wadaslam tumeamua kuungana na vijana kudai Haki.

Wazeee wamchongo ndio wapo huko kwenda Kula pilau ya mama
 
Kijambio ni rais🙄🙄🙄
 
Simtambui kama rais labda ni rais wenu huko Tanzania huku Tanganyika hatumtambui tunamtambua kama muuwaji tu
 
1. Hakuna Rais Tz
2. Hakuna wazee Tz
3. Hakuna vyombo vya habari TZ
4. Hakuna uhuru wa vyombo vya habari
5. Hakuna serikali Tz
6. Kuna MAVI TZ
 
Wazee wa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…