Rais Samia kumbe anajua kuongea Kiarabu Vizuri. Nimemsikia alipokuwa Ikulu ya Tunguu Zanzibar

Rais Samia kumbe anajua kuongea Kiarabu Vizuri. Nimemsikia alipokuwa Ikulu ya Tunguu Zanzibar

Wazanzibari wenzako wameshtuka wanakimbilia huku mjini wanauza samaki,pweza wanazinusuru familia zao huko visiwani. Wewe endelea kujificha kwenye shamba la karanga
 
Serikali yetu iwe na uangalifu sana wanaposhirikiana na Oman. Kumbukeni Sultan Jamshid aliyepinduliwa na wakina John Okello mwaka 1964 na kukimbilia UINGEREZA yuko hai na sasa amerudi yuko anaishi Oman toka mwaka jana!! Msifikirie kua wamesahau himaya yao hivi sasa wanajaribu kuwatega na kupata mbinu ya kuweza kurudisha Utawala wao kama vile PUTIN anavyowafanya huko UKRAINE!! Siku moja mtaamka mtakuta manowali zimejipanga hapo visiwani mkaanza kung'aa macho; dunia ya leo waarabu wana nguvu sana ya fedha hivyo tuwe macho!!!
Yaani propaganda za ma-CCM ya Zanzibar dhidi ya CUF kwako ndo imekuwa hoja...
 
May be 50% or 60% wanaongea kiswahili. Huenda omani ikawa nchi ya kwanza duniani wa2 wake wanaongea kiswahili fasaha, na ya pili kwa waongeaji wengi baada ya Tanzania. Hao jamaa wamejaaliwa kushika lugha acha kabisa, na wanaipenda lugha ya kiswahili.....inatosha kusema hawa ni "Ndugu zetu wa damu kuliko kenya na uganda"

Allaah
amjaarie mama samia afya njema, aijaarie Tanzania na Omani udugu uendelee kudumu.

Kiarabu✔
Kiswahili✔
Acha roho mbaya babaa. Watu wa sampuli kama yako ni ngumu kutoka/kuendelea.

Kwanza nitakuwa mpumbavu mwarabu asemwe na mtu kama wewe and then nikusapoti au nikukalie kimya. Mwarabu ni ndugu yangu katika imani kuliko hata wewe usie muislamu. المسلم أخو المسلم

Sawa kwa upande wako lkn yeye hakuoni hivyo, wewe unaweza kujipendekeza kwa Mwarabu unavyotaka lkn bado anakuona kama Mtumwa tu kwake, kama Msomali pamoja na kujipendekeza kite mpaka kuongea kama Mwarabu lkn anabaguliwa na kukataliwa na Mwarabu ije kuwa wewe nywele ngumu mwenzangu ?
 
Waarabu co kama wazungu, wahindi au mayahudi. Waarabu wana imani, roho nzuri na wakarimu, na dini ndio imewapelekea wawe hivyo japo kuna baadhi wanakosea kama binadamu wengine.

Mwarabu hawezi kukuita nyani
Mwarabu hawezi kukutupia maganda ya ndizi
Mwarabu hawezi kuzikashifu nchi za afrika kama ambavyo trump alivyotoa maneno mabaya japo kuna ukweli ndani yake(SHIT OLE)

Nasema hivi, mwarabu anaongoza duniani kwa imani na ukarimu, huo ndio ukweli babaa. Alafu nikushauri kitu! Tembea nchi za waarabu upate ujionee na upate kujifunza mengi, acha kukakaa tandale cjui same huko.
 
Mwarabu anakwambia 'Ni afadhali sheikh awe mwarabu alaf mlevi kuliko sheikh awe Mweusi'

Maneno ya kwenye kahawa hayo, hayana maana yoyote. Cha ajabu watu hawa wameishi karne na zaidi huku kwetu, kwa maana tumekuwanao, tumeishinao, tumeoleana. Lakini kuna mipumbafu bado inaroho ya "kwanini" inawachukia na kuwatukana waarabu bila sababu. Ndio maana nikasema waarabu wako tofauti mno na jamii zingine, wana imani, huruma, na wakarimu sana,,hatuwafikii hata robo waarabu.

Kuna mshikaji mmoja niliwai kumckia akinena "Mtu mweusi na roho yake nyeusi" hapa kuna ka ukweli flani japo co wote. Wewe unalionaje chief??
 
Ila wewe dini imekuharibu Sana
Hata kule afcon ulikuwa unashabikia misri yaani kiufupi unahitaji ukombozi mkubwa Sana,

Wewe ndio unatakiwa ubadilike, na co mimi . Unawachukia waarabu bila sababu maana yake nini?

Huwa akitajwa mwarabu hampendezewi ,,ukitajwa uisilamu hampendi,,,ila nyie watu bwana ndiomaana huwa nawachana live.

Waarabu hawajawahi kumuita mtu mweusi NYANI,
Waarabu hawajawahi kumtupia mtu mweusi ganda la ndizi
Mwarabu hawezi kuzikashifu nchi za afrika kama ambavyo trump alivyotoa maneno mabaya japo kuna ukweli ndani yake(SHIT OLE)

Wazungu je?

Aisee waarabu nawasifu mno, kwa ukarimu na imani waliyonayo lau tungefuata mienendo yao tungefika mbali sana.

I'm proud to be a muslim
 
Serikali yetu iwe na uangalifu sana wanaposhirikiana na Oman. Kumbukeni Sultan Jamshid aliyepinduliwa na wakina John Okello mwaka 1964 na kukimbilia UINGEREZA yuko hai na sasa amerudi yuko anaishi Oman toka mwaka jana!! Msifikirie kua wamesahau himaya yao hivi sasa wanajaribu kuwatega na kupata mbinu ya kuweza kurudisha Utawala wao kama vile PUTIN anavyowafanya huko UKRAINE!! Siku moja mtaamka mtakuta manowali zimejipanga hapo visiwani mkaanza kung'aa macho; dunia ya leo waarabu wana nguvu sana ya fedha hivyo tuwe macho!!!

Acha kufananisha waarabu na vitu vya kipumbafu mzee. Unadhani omani/nchi za kiislamu ni kama za makafiri wa kizungu/mayahudi zinaenda kupiga nchi na kuikalia!!! Omani hawezi fanya huo ujinga,,tatizo lako na wengine kama wewe mlishakaririshwa ujinga.
 
Oman ni ndugu zetu, wakirudi tutawakaribisha. Huyo Okello ni chogo mwenzako, siyo Mzanzibari. Alifanya vamizi huku Zanzibar na kumwaga damu za wasio na hatia.

Huyo okello atapata anachositahiki kwa dhambi alizofanya kwa ndugu zetu waisilamu/waarabu,,hilo tukio halitasahaulika. Laana za Allah ziwe juu yao

Nyerere ❌
Okello ❌
Karume❌
 
Faida yake nini kwetu sisi?

Faida nyingi sana,,, ikiwemo yeye kuijua lugha yake ya kiarabu,, kukutana na wakubwa katika nchi mbali mbali za kiarabu, tena kwa omani hata kiswahili kinapigwa vizuri sana.

Kwa taarifa yako cjui wewe ni myahudi ama mkristo, lakini sisi waisilamu ni muhimu kuijua lugha ya kiarabu. lugha kubwa kuliko zote duniani.
 
Hamtaki kukubali tu kwasababu mnaona aibu, bila John Okello Mpaka leo mgekuwa chini ya hao WAMANGA!! Wakina NATEPE na Col. Seif Bakari nao wawaita machogo?

Kwahiyo alichokifanya john okello na makafiri wenzie kutoka bara, kwako unaona ni sawa??? Waafrika bwana 😁 ndiomaana nikasema "waarabu wamejawa na ukarimu, imani na huruma" lau tungefuata mienendo yao na ukarimu walionao tungefika mbali sana.

Wote waliouawa dhidi ya okello na makafiri wenzie, Allaah awasamehe makosa yao na awaingize katika jannati firdaus.
 
Mwislamu akisoma dini kama hajui kusoma kiarabu na kuandika kiarabu huyo sio mwislamu

Madrasa zote hufundisha kusoma ,kuandika na kuongea kiarabu uswahilini wako kibao wanaweza kama mama Samia wasoma Madrasa

Maneno ya vijiwe vya kahawa,,,
 
Ila waarab hasa wa Oman, bado psychologically wanawaona Wazanzibar vijakazi/manamba wao. Hakuna undugu na hao.

Huyo kwenye avatar uliamini atakusaidia, end of the day akawaingiza mjini na akamuuwa mwafrika mwenzio. Waarabu watabaki kuwa waarabu, imani na ukarimu waliyonayo ndio imewafikisha hapo. Wewe na wenzio wenye chuki mmefika wapi?😁
 
Kihistoria Oman ndiyo Kitongoji cha Zanzibar - Zanzibar iliitawa Oman wakati fulani
corection.ni kwel maan suktan alihamisha makaz yake toka oman kuja znz.so utawala ulitokea zanzbar kwenda oman
 
!! Mkifanya mchezo kibano mtakachopata sasa mtatokomea kabisa!!!

Unaongea ukiwa tandale or machame? Hivi ikitokea vita kati ya waisilamu na waco waisilamu unadhani nini kitatokea!!! Kwa idadi ndogo mliyonayo ninyi wakristo unadhani mtasalimika!!! Acha masihara mzee. Dar pekee ina idadi kubwa ya waisilamu kuliko waco waisilamu. Usilete mchezo baba.
 
Kuna mtoto wa jirani yangu tulikuwa tunatazama naye muvi.Basi yule dogo alishangaa sana kuwaona watoto wa kizungu(Uingereza) wanaongea kiingereza.
 
Salaam Wakuu

Leo ndo nimeamini Tanzania ina hazina kubwa. Marais wengine wanajivunia kuongea vernaculars (Kiingereza Kilugha cha kwao na Kiswahili).

Lakini ni tofauti na Rais Samia. Anaongea Lugha zaidii ya Nne kwa ufasaha.

Rais Samia hapendi kujitapa kwqmba anajua Lugha. Ila leo alipokuwa anazungumza na Ujumbe Maalum kutoka kwa Sultan wa Oman ulioongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Badr Hamad Hamood Al Busaidi ndo nimegundua. Ila kucheka anacheka kiswahili.

Huo Ujumbe ulifika leo Ikulu ya Tunguu Zanzibar.

Freeman Mbowe leo wakati anahutubia baraza la Wanawake la CHADEMA(BAWACHA), kasema Rais Samia ni Mtu Poa, akamaliza kwa kusema Mnyonge mnyongeni haki yake Mpeni.

Msihusishe hii taarifa na Ngorongoro.

View attachment 2143587
mwandishi kaandika nn hapo.hivi hata ukijua lugha 50 ss watz zinatusaidia nn?watz tunahitaji uchumi ukue na sarafu zetu ziwe na nguvu.sasa hivi bei za bidhaa ziko juu na zinazidi kupanda kila kukicha na nguvu ya sarafu yetu inazidi kushuka.tafuteni njia ya kukuza uchumi hizo nyingi ni mbwembwe tu.
 
Waarabu co kama wazungu, wahindi au mayahudi. Waarabu wana imani, roho nzuri na wakarimu, na dini ndio imewapelekea wawe hivyo japo kuna baadhi wanakosea kama binadamu wengine.

Mwarabu hawezi kukuita nyani
Mwarabu hawezi kukutupia maganda ya ndizi
Mwarabu hawezi kuzikashifu nchi za afrika kama ambavyo trump alivyotoa maneno mabaya japo kuna ukweli ndani yake(SHIT OLE)

Nasema hivi, mwarabu anaongoza duniani kwa imani na ukarimu, huo ndio ukweli babaa. Alafu nikushauri kitu! Tembea nchi za waarabu upate ujionee na upate kujifunza mengi, acha kukakaa tandale cjui same huko.

Huo ujinga wako peleka huko, unajua nani ana support Al shabaab na ku destroy a 100% Islamic country ? Nani anaharibu Somalia unajua ? Ni Saudi Arabia, unajua nani ana bomb Islamic Yemen na kuuwa Muslim children children kila siku ? Ni Saudi Arabia,

Unajua kwa nini Wakimbizi wa Syria walikimbikia EU na nchi nyingine na siyo Qatar au Dubai ?

https://en.m.wikipedia.org/wiki/Saudi_Arabian–led_intervention_in_Yemen

Saudi bombing Muslim children in Yemen

1646910344976.jpeg

1646910116793.jpeg
 
Back
Top Bottom