sikongefdc
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,612
- 2,156
Wazanzibari wenzako wameshtuka wanakimbilia huku mjini wanauza samaki,pweza wanazinusuru familia zao huko visiwani. Wewe endelea kujificha kwenye shamba la karanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani propaganda za ma-CCM ya Zanzibar dhidi ya CUF kwako ndo imekuwa hoja...Serikali yetu iwe na uangalifu sana wanaposhirikiana na Oman. Kumbukeni Sultan Jamshid aliyepinduliwa na wakina John Okello mwaka 1964 na kukimbilia UINGEREZA yuko hai na sasa amerudi yuko anaishi Oman toka mwaka jana!! Msifikirie kua wamesahau himaya yao hivi sasa wanajaribu kuwatega na kupata mbinu ya kuweza kurudisha Utawala wao kama vile PUTIN anavyowafanya huko UKRAINE!! Siku moja mtaamka mtakuta manowali zimejipanga hapo visiwani mkaanza kung'aa macho; dunia ya leo waarabu wana nguvu sana ya fedha hivyo tuwe macho!!!
May be 50% or 60% wanaongea kiswahili. Huenda omani ikawa nchi ya kwanza duniani wa2 wake wanaongea kiswahili fasaha, na ya pili kwa waongeaji wengi baada ya Tanzania. Hao jamaa wamejaaliwa kushika lugha acha kabisa, na wanaipenda lugha ya kiswahili.....inatosha kusema hawa ni "Ndugu zetu wa damu kuliko kenya na uganda"
Allaah amjaarie mama samia afya njema, aijaarie Tanzania na Omani udugu uendelee kudumu.
Kiarabu✔
Kiswahili✔
Acha roho mbaya babaa. Watu wa sampuli kama yako ni ngumu kutoka/kuendelea.
Kwanza nitakuwa mpumbavu mwarabu asemwe na mtu kama wewe and then nikusapoti au nikukalie kimya. Mwarabu ni ndugu yangu katika imani kuliko hata wewe usie muislamu. المسلم أخو المسلم
Sawa kwa upande wako lkn yeye hakuoni hivyo, wewe unaweza kujipendekeza kwa Mwarabu unavyotaka lkn bado anakuona kama Mtumwa tu kwake, kama Msomali pamoja na kujipendekeza kite mpaka kuongea kama Mwarabu lkn anabaguliwa na kukataliwa na Mwarabu ije kuwa wewe nywele ngumu mwenzangu ?
Mwarabu anakwambia 'Ni afadhali sheikh awe mwarabu alaf mlevi kuliko sheikh awe Mweusi'
Ila wewe dini imekuharibu Sana
Hata kule afcon ulikuwa unashabikia misri yaani kiufupi unahitaji ukombozi mkubwa Sana,
Serikali yetu iwe na uangalifu sana wanaposhirikiana na Oman. Kumbukeni Sultan Jamshid aliyepinduliwa na wakina John Okello mwaka 1964 na kukimbilia UINGEREZA yuko hai na sasa amerudi yuko anaishi Oman toka mwaka jana!! Msifikirie kua wamesahau himaya yao hivi sasa wanajaribu kuwatega na kupata mbinu ya kuweza kurudisha Utawala wao kama vile PUTIN anavyowafanya huko UKRAINE!! Siku moja mtaamka mtakuta manowali zimejipanga hapo visiwani mkaanza kung'aa macho; dunia ya leo waarabu wana nguvu sana ya fedha hivyo tuwe macho!!!
Oman ni ndugu zetu, wakirudi tutawakaribisha. Huyo Okello ni chogo mwenzako, siyo Mzanzibari. Alifanya vamizi huku Zanzibar na kumwaga damu za wasio na hatia.
Faida yake nini kwetu sisi?
Hamtaki kukubali tu kwasababu mnaona aibu, bila John Okello Mpaka leo mgekuwa chini ya hao WAMANGA!! Wakina NATEPE na Col. Seif Bakari nao wawaita machogo?
Mwislamu akisoma dini kama hajui kusoma kiarabu na kuandika kiarabu huyo sio mwislamu
Madrasa zote hufundisha kusoma ,kuandika na kuongea kiarabu uswahilini wako kibao wanaweza kama mama Samia wasoma Madrasa
Ila waarab hasa wa Oman, bado psychologically wanawaona Wazanzibar vijakazi/manamba wao. Hakuna undugu na hao.
corection.ni kwel maan suktan alihamisha makaz yake toka oman kuja znz.so utawala ulitokea zanzbar kwenda omanKihistoria Oman ndiyo Kitongoji cha Zanzibar - Zanzibar iliitawa Oman wakati fulani
!! Mkifanya mchezo kibano mtakachopata sasa mtatokomea kabisa!!!
endelea kuwatukuza , siku utapigwa nyanyaWaarabu hawajawahi kumuita mtu mweusi NYANI,
Waarabu hawajawahi kumtupia mtu mweusi ganda la ndizi
endelea kuwatukuza , siku utapigwa nyanya
mwandishi kaandika nn hapo.hivi hata ukijua lugha 50 ss watz zinatusaidia nn?watz tunahitaji uchumi ukue na sarafu zetu ziwe na nguvu.sasa hivi bei za bidhaa ziko juu na zinazidi kupanda kila kukicha na nguvu ya sarafu yetu inazidi kushuka.tafuteni njia ya kukuza uchumi hizo nyingi ni mbwembwe tu.Salaam Wakuu
Leo ndo nimeamini Tanzania ina hazina kubwa. Marais wengine wanajivunia kuongea vernaculars (Kiingereza Kilugha cha kwao na Kiswahili).
Lakini ni tofauti na Rais Samia. Anaongea Lugha zaidii ya Nne kwa ufasaha.
Rais Samia hapendi kujitapa kwqmba anajua Lugha. Ila leo alipokuwa anazungumza na Ujumbe Maalum kutoka kwa Sultan wa Oman ulioongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Badr Hamad Hamood Al Busaidi ndo nimegundua. Ila kucheka anacheka kiswahili.
Huo Ujumbe ulifika leo Ikulu ya Tunguu Zanzibar.
Freeman Mbowe leo wakati anahutubia baraza la Wanawake la CHADEMA(BAWACHA), kasema Rais Samia ni Mtu Poa, akamaliza kwa kusema Mnyonge mnyongeni haki yake Mpeni.
Msihusishe hii taarifa na Ngorongoro.
View attachment 2143587
Waarabu co kama wazungu, wahindi au mayahudi. Waarabu wana imani, roho nzuri na wakarimu, na dini ndio imewapelekea wawe hivyo japo kuna baadhi wanakosea kama binadamu wengine.
Mwarabu hawezi kukuita nyani
Mwarabu hawezi kukutupia maganda ya ndizi
Mwarabu hawezi kuzikashifu nchi za afrika kama ambavyo trump alivyotoa maneno mabaya japo kuna ukweli ndani yake(SHIT OLE)
Nasema hivi, mwarabu anaongoza duniani kwa imani na ukarimu, huo ndio ukweli babaa. Alafu nikushauri kitu! Tembea nchi za waarabu upate ujionee na upate kujifunza mengi, acha kukakaa tandale cjui same huko.