Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wa mkoa sojui anajusikaje ,kama angemtengua mwigwulu hapo sawaUsiku wakati tarehe 15 Mei 2023 ikielekea ukingoni Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu iliachia "PDF" ya Mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa ambapo wakuu wa mikoa minne waliguswa na mabadiliko aliyoyafanya Rais Samia Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza akitoka Dar es Salaam, Adam Kighoma Malima amehamishiwa, Morogoro akitoka Mwanza, Bi Fatma Abubakar Mwassa amehamishiwa Kagera
Stori kubwa ni Mzee wa "kadansee", "mzee wa kuleni bia" Albert John Chalamila kuhamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa
wa Dar es Salaam akitokea Kagera.
Chalamila ana matukio mengi sana akiwa kwenye nafasi ya Mkuu wa Mkoa katika sehemu tofauti tofauti, vipi mwanajamvi unaouonaje uamuzi wa Rais Samia kumleta jijini Dar es Salaam, ataliweza jiji la Dar?
Nasubiri uteuzi hata wa DCKaribu Dar Ila Jiji linataka busara Sana tofaut na hapo unaweza kuhamishiwa Lindi.
NB: Siku mbili ahadi kibao!
Kama kutongoza demu mpya ahadi 1000 utekelezaji 2Karibu Dar Ila Jiji linataka busara Sana tofaut na hapo unaweza kuhamishiwa Lindi.
NB: Siku mbili ahadi kibao!
Karibu Dar Ila Jiji linataka busara Sana tofaut na hapo unaweza kuhamishiwa Lindi.
NB: Siku mbili ahadi kibao!
Wanyalu mmenyanyuka kwa hasiraMnamuonea Gere Magufuli Boys huyo!
Tunajua mmejaa vijiba moyoni juu yake!
Mlioshangilia siku qlipotumbuliwa ndio nyinyi masukunenke mnaopkerwa na Yeye kuendelea kupeta tofauyi na matarajio yenu.
Kaka yenu BM anawasalimu kutoka alipo kwa sasa!
Kazi ya kuweka lami na kufanya maendeleo sio ya mkuu wa mkoa.Kama kweli hafanyi usanii basi akaweke lami barabara kitunda iliyolalamikiwa muda humu.
Ndaga fijo...😜Wanyalu mmenyanyuka kwa hasira
Uzuri mwana fyale hapoi...🤣Drama kuliko kazi