Rais Samia Kumhamishia Chalamila Dar es Salaam, Umelipokeaje?

Rais Samia Kumhamishia Chalamila Dar es Salaam, Umelipokeaje?

Karibu Dar Ila Jiji linataka busara Sana tofaut na hapo unaweza kuhamishiwa Lindi.
NB: Siku mbili tu ahadi kibao!
Chalamila hana mambo ya maigizo,, kama wakuu wa mikoa urembo.

Chalamila:
Hasira kwa sana
Kazi kwa sana..
Bia ni uchumi 🤔🤔

Kama unaona hawezi hamia mkoa mwingine ukaishi huko...
Chalamila fwili ng'afu bhana
 
Yani ukiangalia vitu anavyo fanya huyu jamaa na vitu anaongea unajiuliza hivi alipataje ukuu wa mkoa, lakini viongozi wengi ni kama yeye tuu usanii mwingi
 
Karibu Dar Ila Jiji linataka busara Sana tofaut na hapo unaweza kuhamishiwa Lindi.
NB: Siku mbili tu ahadi kibao!
Amefika....mh.Chalamila ameingia jijini....kazi ataipiga....

Kila la heri kwako kamarada Chalamila,amin[emoji120]
 
Back
Top Bottom