Rais Samia Kumhamishia Chalamila Dar es Salaam, Umelipokeaje?

Hivi kwani ni lazima viongozi wa mikoa wawe hao hao hakuna watz wengine...tena very smart.
Unamtoa hapa unampeleka pale...upuuzi.
Katiba mpya ni muhimu sana
 
Mkuu wa mkoa sojui anajusikaje ,kama angemtengua mwigwulu hapo sawa
 
Karibu Dar Ila Jiji linataka busara Sana tofaut na hapo unaweza kuhamishiwa Lindi.
NB: Siku mbili ahadi kibao!

na ndivyo inavyoonekana huyu charamila hakufaa kuwa mkuu wa mkoa ni mtu hutoa matamko ya ovyo ni kinyume na maadili dar haiwezi kabisa labda mama amuonee aibu amuache
 
Mnamuonea Gere Magufuli Boys huyo!
Tunajua mmejaa vijiba moyoni juu yake!
Mlioshangilia siku qlipotumbuliwa ndio nyinyi masukunenke mnaopkerwa na Yeye kuendelea kupeta tofauyi na matarajio yenu.

Kaka yenu BM anawasalimu kutoka alipo kwa sasa!
 
Mnamuonea Gere Magufuli Boys huyo!
Tunajua mmejaa vijiba moyoni juu yake!
Mlioshangilia siku qlipotumbuliwa ndio nyinyi masukunenke mnaopkerwa na Yeye kuendelea kupeta tofauyi na matarajio yenu.

Kaka yenu BM anawasalimu kutoka alipo kwa sasa!
Wanyalu mmenyanyuka kwa hasira
 
Dar iliwahi kupata Naibu Mfalme Drama kila uchao (Wajane, yatima, USAFI kila Jumamosi, mashoga) kiko wapi Sasa hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…