Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,596
- 2,226
Chalamila hana mambo ya maigizo,, kama wakuu wa mikoa urembo.Karibu Dar Ila Jiji linataka busara Sana tofaut na hapo unaweza kuhamishiwa Lindi.
NB: Siku mbili tu ahadi kibao!
🤣🤣🙌Kama kutongoza demu mpya ahadi 1000 utekelezaji 2
Amefika....mh.Chalamila ameingia jijini....kazi ataipiga....Karibu Dar Ila Jiji linataka busara Sana tofaut na hapo unaweza kuhamishiwa Lindi.
NB: Siku mbili tu ahadi kibao!
Kidumu Chama cha MapinduziAmefika....mh.Chalamila ameingia jijini....kazi ataipiga....
Kila la heri kwako kamarada Chalamila,amin[emoji120]
Siempre CCM[emoji120]Kidumu Chama cha Mapinduzi
Hatutaacha akiborongaKaribu Dar Ila Jiji linataka busara Sana tofaut na hapo unaweza kuhamishiwa Lindi.
NB: Siku mbili tu ahadi kibao!