Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
MwanaFA kataja maendeleo au kataja Ndege? Kwa nini unasema watu wanageuza maneno wakati Bi Chura Kiziwi ndo kaanza kugeuza maneno ya FA?
 
Huyo bibi baadala ya kushughulikia Usalama yeye anatukanwa tu.
 
.
 
Unataka kutuambia mwana FA aliimba β€˜kuna mbwa wapumbavu wanabwekea maendeleo yetu’? Kila mtu kasikia Samia ndiye aliyetamka tena kwa kukazia.
 
No kweli hasta wamasai no mbwa wanaonweka baada ya maendeleo makubwa yaliyoletwa na waarabu wawekezaji huko ngorongoro!!
 
Kilicho baki kwa huyu Mama ni kuiuza Tanganyika na mipasho tuu.
Days are numbered
 
Samia yupo sana mpaka 2030, ceteris paribus.

Hii nchi wangeichukua akina Bashiru Ally au Job Ndugai kama walivyotaka kabla Mabeyo CDF hajaongilia kati, saa hizi tungekuwa na shida kubwa.
Hatoboi 2025.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ mpaka mnatutukana jamani, kodi mtapanye, muishi kibwenyenye na bado mnatuita mbwa tena basi bora hata tuwe Germany shepherd tuwe hata walinzi, eti ni mbwa wapumbavu πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Daaaah!!!
Kweli huko CCM ni baba wa uongo,upotoshaji na maovu wote.
Hamis ameimba, "mbwa mpumbavu anambwekea ndege", na huyo unayemtetea amenena," mbwa mpumbavu anabwekea maendeleo yetu".

Kwa nini unaandika uongo na upotoshaji!!??
 
Samia yupo sana mpaka 2030, ceteris paribus.

Hii nchi wangeichukua akina Bashiru Ally au Job Ndugai kama walivyotaka kabla Mabeyo CDF hajaongilia kati, saa hizi tungekuwa na shida kubwa.
Mkuu, tungekuwa na shida kivipi? ebu fafanua kwa manuufaa ya UMAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…