Pre GE2025 Rais Samia: Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Acha uongo kijana, hivi kwanini mnapenda kugeuza maneno ya mtu aliyosema na kuyatia maana yako tofauti ili kupotosha..!!

Ule ni mstari wa mwisho wa nyimbo ya free style ya Mwana FA alipoimba pale Kizimkazi kwa kuombwa just kuleta burudani kidogo pale katika sherehe tu, wala haina uhusiano kabisa na mambo ya kisiasa, ni nyimbo tu, acha uongo wewe..!! Nyoko kabisa
MwanaFA kataja maendeleo au kataja Ndege? Kwa nini unasema watu wanageuza maneno wakati Bi Chura Kiziwi ndo kaanza kugeuza maneno ya FA?
 
Huyo bibi baadala ya kushughulikia Usalama yeye anatukanwa tu.
 
Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati alipo muomba Naibu waziri wa Sanaa na michezo maarufu kama Mwana Fa kuimba mashairi wakati akitaka kuanza kuongea na wana Zanzibar katika uzinduzi wa Suluhu Sports Club.

katika sehemu aliyoimba Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa Sanaa na Michezo alisema "mbwa mpumbavu ndiyo anaweza bwekea ndege". Baada ya hapo Rais Samia ndiyo akaongezea kusema Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu.
.
20240822_183500.jpg
 
Acha uongo kijana, hivi kwanini mnapenda kugeuza maneno ya mtu aliyosema na kuyatia maana yako tofauti ili kupotosha..!!

Ule ni mstari wa mwisho wa nyimbo ya free style ya Mwana FA alipoimba pale Kizimkazi kwa kuombwa just kuleta burudani kidogo pale katika sherehe tu, wala haina uhusiano kabisa na mambo ya kisiasa, ni nyimbo tu, acha uongo wewe..!! Nyoko kabisa
Unataka kutuambia mwana FA aliimba ‘kuna mbwa wapumbavu wanabwekea maendeleo yetu’? Kila mtu kasikia Samia ndiye aliyetamka tena kwa kukazia.
 
No kweli hasta wamasai no mbwa wanaonweka baada ya maendeleo makubwa yaliyoletwa na waarabu wawekezaji huko ngorongoro!!
 
Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati alipo muomba Naibu waziri wa Sanaa na michezo maarufu kama Mwana Fa kuimba mashairi wakati akitaka kuanza kuongea na wana Zanzibar katika uzinduzi wa Suluhu Sports Club.

katika sehemu aliyoimba Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa Sanaa na Michezo alisema "mbwa mpumbavu ndiyo anaweza bwekea ndege". Baada ya hapo Rais Samia ndiyo akaongezea kusema Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu.
Kilicho baki kwa huyu Mama ni kuiuza Tanganyika na mipasho tuu.
Days are numbered
 
Samia yupo sana mpaka 2030, ceteris paribus.

Hii nchi wangeichukua akina Bashiru Ally au Job Ndugai kama walivyotaka kabla Mabeyo CDF hajaongilia kati, saa hizi tungekuwa na shida kubwa.
Hatoboi 2025.
 
😂😂 mpaka mnatutukana jamani, kodi mtapanye, muishi kibwenyenye na bado mnatuita mbwa tena basi bora hata tuwe Germany shepherd tuwe hata walinzi, eti ni mbwa wapumbavu 😂😂
 
Acha uongo kijana, hivi kwanini mnapenda kugeuza maneno ya mtu aliyosema na kuyatia maana yako tofauti ili kupotosha..!!

Ule ni mstari wa mwisho wa nyimbo ya free style ya Mwana FA alipoimba pale Kizimkazi kwa kuombwa just kuleta burudani kidogo pale katika sherehe tu, wala haina uhusiano kabisa na mambo ya kisiasa, ni nyimbo tu, acha uongo wewe.

Daaaah!!!
Kweli huko CCM ni baba wa uongo,upotoshaji na maovu wote.
Hamis ameimba, "mbwa mpumbavu anambwekea ndege", na huyo unayemtetea amenena," mbwa mpumbavu anabwekea maendeleo yetu".

Kwa nini unaandika uongo na upotoshaji!!??
 
Samia yupo sana mpaka 2030, ceteris paribus.

Hii nchi wangeichukua akina Bashiru Ally au Job Ndugai kama walivyotaka kabla Mabeyo CDF hajaongilia kati, saa hizi tungekuwa na shida kubwa.
Mkuu, tungekuwa na shida kivipi? ebu fafanua kwa manuufaa ya UMAA
 
Back
Top Bottom