Pre GE2025 Rais Samia: Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mungu halali na hatalala mpaka tutakapopata tafsiri halisi Nani Mbwa anayebwekea maendeleo ya watu Watukufu wa Zanzibar. Kama ni Watanganyika, nawaonya Mbwa Wapumbavu acheni wivu.
 
Attachments

  • 20240822_175806.jpg
    20240822_175806.jpg
    61.5 KB · Views: 1
Wajuvi akina Paskal leo mlizungumzia kukosoa kwa kistaarabu bila kutukana, hebu tuuendeleze mjadala wetu kuanzia hapa, "kuna mbwa anabwekea maendeleo yetu".
Acha uongo kijana, hivi kwanini mnapenda kugeuza maneno ya mtu aliyosema na kuyatia maana yako tofauti ili kupotosha..!!

Ule ni mstari wa mwisho wa nyimbo ya free style ya Mwana FA alipoimba pale Kizimkazi kwa kuombwa just kuleta burudani kidogo pale katika sherehe tu, wala haina uhusiano kabisa na mambo ya kisiasa, ni nyimbo tu, acha uongo wewe..!
 
Mungu halali na hatalala mpaka tutakapopata tafsiri halisi Nani Mbwa anayebwekea maendeleo ya watu Watukufu wa Zanzibar. Kama ni Watanganyika, nawaonya Mbwa Wapumbavu acheni wivu.
Zazibar ni sehemu ya Tanzania kuonea wivu maendeleo ya zazibar ni kua kama mbwa asie jua anacho bwekea.
 
Mungu halali na hatalala mpaka tutakapopata tafsiri halisi Nani Mbwa anayebwekea maendeleo ya watu Watukufu wa Zanzibar. Kama ni Watanganyika, nawaonya Mbwa Wapumbavu acheni wivu.
Wapo wengi tuu huko kwenye chama saccos
 
Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati alipo muomba Naibu waziri wa Sanaa na michezo maarufu kama Mwana Fa kuimba mashairi wakati akitaka kuanza kuongea na wana Zanzibar katika uzinduzi wa Suluhu Sports Club.

katika sehemu aliyoimba Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa Sanaa na Michezo alisema "mbwa mpumbavu ndiyo anaweza bwekea ndege". Baada ya hapo Rais Samia ndiyo akaongezea kusema Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu.
Mbwa wamejaa kwenye ile saccos 😂😂😂
 
Acha uongo kijana, hivi kwanini mnapenda kugeuza maneno ya mtu aliyosema na kuyatia maana yako tofauti ili kupotosha..!!

Ule ni mstari wa mwisho wa nyimbo ya free style ya Mwana FA alipoimba pale Kizimkazi kwa kuombwa just kuleta burudani kidogo pale katika sherehe tu, wala haina uhusiano kabisa na mambo ya kisiasa, ni nyimbo tu, acha uongo wewe..!
,wakati kichwa cha uzi kinasema mkosoo bila matusi?
 
Back
Top Bottom