Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Utakata wewe ila Samia yupo hadi 2030. Jishughulishe na shughuli ya uzalishaji mali, usitegemee kuna Rais atakuja kukuwekea fedha mfukoni
Justice for SOKA
Bring back SOKA alive.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakata wewe ila Samia yupo hadi 2030. Jishughulishe na shughuli ya uzalishaji mali, usitegemee kuna Rais atakuja kukuwekea fedha mfukoni
Acha uongo kijana, hivi kwanini mnapenda kugeuza maneno ya mtu aliyosema na kuyatia maana yako tofauti ili kupotosha..!!Wajuvi akina Paskal leo mlizungumzia kukosoa kwa kistaarabu bila kutukana, hebu tuuendeleze mjadala wetu kuanzia hapa, "kuna mbwa anabwekea maendeleo yetu".
Zazibar ni sehemu ya Tanzania kuonea wivu maendeleo ya zazibar ni kua kama mbwa asie jua anacho bwekea.Mungu halali na hatalala mpaka tutakapopata tafsiri halisi Nani Mbwa anayebwekea maendeleo ya watu Watukufu wa Zanzibar. Kama ni Watanganyika, nawaonya Mbwa Wapumbavu acheni wivu.
Wapo wengi tuu huko kwenye chama saccosMungu halali na hatalala mpaka tutakapopata tafsiri halisi Nani Mbwa anayebwekea maendeleo ya watu Watukufu wa Zanzibar. Kama ni Watanganyika, nawaonya Mbwa Wapumbavu acheni wivu.
Mbeya ni wale wa upande mwingineWajuvi akina Paskal leo mlizungumzia kukosoa kwa kistaarabu bila kutukana, hebu tuuendeleze mjadala wetu kuanzia hapa, "kuna mbwa anabwekea maendeleo yetu".
Machawa mnafurahia watanganyika kuitwa mbwa ila mwambieni mbwa huwa anang’ataWapo wengi tuu huko kwenye chama saccos
Wewe mbwa wa saccos unaongea nini?Mnafurahia watanganyika kuitwa mbwa ila mwambieni mbwa huwa anang’ata
Mbwa wamejaa kwenye ile saccos 😂😂😂Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati alipo muomba Naibu waziri wa Sanaa na michezo maarufu kama Mwana Fa kuimba mashairi wakati akitaka kuanza kuongea na wana Zanzibar katika uzinduzi wa Suluhu Sports Club.
katika sehemu aliyoimba Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa Sanaa na Michezo alisema "mbwa mpumbavu ndiyo anaweza bwekea ndege". Baada ya hapo Rais Samia ndiyo akaongezea kusema Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu.
Mujukuu wa ngapi huyu vile?Tulia mjukuu, kunywa mtori nyama zipo chini
,wakati kichwa cha uzi kinasema mkosoo bila matusi?Acha uongo kijana, hivi kwanini mnapenda kugeuza maneno ya mtu aliyosema na kuyatia maana yako tofauti ili kupotosha..!!
Ule ni mstari wa mwisho wa nyimbo ya free style ya Mwana FA alipoimba pale Kizimkazi kwa kuombwa just kuleta burudani kidogo pale katika sherehe tu, wala haina uhusiano kabisa na mambo ya kisiasa, ni nyimbo tu, acha uongo wewe..!
Tunaweza tumia kiswahili ya kutepeta au?Hii ni dalili ya kuzidiwa na mambo na kukata tamaa.