Rais Samia, kuna mtu mmoja tu hapa Tanzania anaweza kukusaidia kuuvuka huu mtihani wa DP World na TEC - muite, ongea nae, msikilize, ufanye atachosema

Rais Samia, kuna mtu mmoja tu hapa Tanzania anaweza kukusaidia kuuvuka huu mtihani wa DP World na TEC - muite, ongea nae, msikilize, ufanye atachosema

Sikiliza bwana, kiongozi anayeshawishika kusaini mkataba wa kuuza nchi yetu hatuna utani nae kabisa. Ulichomshauri wala hakiwezi kubadilisha chochote nchi nzima sasa wanajua alitaka kutupiga biashara kwa warabu. Kinachomponza ni pale alipoona kuwa Magufuli was wrong na Mimi ndiyo nipo correct... Ni hivi huyu anaandamwa na kivuli cha Magufuli. Kakumbatia majizi yaliondolewa Enzi za JPM. Kama umekumbatia tapeli basi na wewe dhamira ni ileile...na akajichanganya akagombea 2025 utaona mziki wake. Kwanza hii rasha rasha kuna kombora la masafa marefu limeandaliwa.
Yaani ulipotaja Jiwe ndipo ulipoharibu kabisa. Jiwe alikuwa laana kwa taifa
 
Raisi Samia alipaswa kuteua timu yake ya kumshauri masuala yake yeye mwenyewe binafsi yaani "Personally".

Hivi ndivyo wafanyavyo viongozi wengi wenye nia njema na nchi zao.

Kuna watu hadi wanasaikolojia ambao humshauri kiongozi pale penye matatizo yanohitaji akili kuchambua kwa makini masuala mazito kabla ya kuja na uamuzi.

Timu ya washauri binafsi ambao si lazima wawe kwenye payroll ya serikali.

Hivyo, badala ya kumteua profesa Mwandosya kwenda EWURA kula pensheni ni bora awe mshauri wako wa karibu umlipe kama "private consultant or adviser" kuliko kwenda EWURA kuzuia nafasi kwa vijana.

NB
Naomba nitofautishe wasaidizi na washauri wa raisi ni watu tofauti.
Si aliteuliwa Tony Blair au
 
Thread Yako imesomwa na wengi sana.

HAKIKA JF ni platform kubwa.

Ujumbe wako Nina HAKIKA utafika.

Mungu ibariki TANZANIA, tupite motoni lakini tusiteketee, Sisi ni Dhahabu, tunaoshwa na kutakaswa Kwa MOTO.

Amen.
 
Mwandosya apeleke ushauri mwenyewe, asisubiri kuitwa
Naunga mkono kwa sababu...

Hatupaswi kukaa kimya wakati tukishuhudia makosa yakitendeka. Katika hali hiyo, ukimya haukubaliki kimaadili.

Tuna wajibu wa kuzungumza. Kukaa kimya pia kunaweza kutafsiriwa kana unafiki na dalili ya woga na kutojiamini.

Kama hali ya hatari itatokea waliokaa kimya nao wana hatia na wanastahili lawama sawa sawa na wahusika.

Hivyo hii hoja iliyoletwa na Synthesizer naiona ni mufilisi na kama ni kweli haungi mkono huu mkataba wa hovyo hana nia njema.
 
Watu wa calibre ya Mwandosya ni tishio kwa mama. Anajua wata mu outshine.

Mama anataka mabwaku bwaku kama kina Nape wasiokuwa na ufahamu wala uelewa zaidi ya matusi tu.
After all birds of a feather flock together.

Mkapa alikuwa intellectual, it is within reason kutafuta ushauri kwa ma intellectuals. Mwenye elimu ya QT atafuata ushauri kwa form 6 failure maana hao ndio ukomo wa mafanikio ki elimu kwa mtazamo wake.
 
Ivi vile vipengele vinahitaji ata mshauri??? Siunajishauri tu mwenyewe mkataba umekaa kishoga sana ule
 
Back
Top Bottom