Rais Samia: Kuna vijineno Serikalini hakuna hela, ni kweli…

Rais Samia: Kuna vijineno Serikalini hakuna hela, ni kweli…

Zile mbwembwe za kuwalipa wenye vyeti fake nikajua kweli serikali sasa inapesa za kutosha kuliko awamu yeyote ile mala BOT kuna kiwango kikubwa cha pesa za akiba za kigeni zinaweza kuhudumia nchi kwa miezi sijui mingapi vile hapo ndo nikaona Tanzania ni ulaya kabisa
 
Mta squeeze mapato yote mwisho yawe yanaenda kulipa madeni badala ya kusaidia kuendesha serikali hata kwa hio percent ndogo.
 
Tulia uandike vzr ueleweke

Ila kwa taarifa yako tu yupo ad 2030
Yule mwingine mlizulia uchuro hivyo hivyo hadi Mungu akakasirika na kumchukua. Mmeanza tena. Kesho tena tuambiwe anawasalimu yupo ofisini anachapa kazi[emoji24][emoji24]
 
Udhaifu wa Ndugai umeonekana tu mara baada ya kuonya juu ya ukopaji wa fedha nje uliokithiri?
Kani kauli ya atake asitake tutamwongezea muda aliitoa naada ba kuonya kuhusu ukopaji? Pale hakuna kitu
 
Posho za madaraka ya walimu wakuu,wakuu washule,vyuo,na maafisa elim kata pamoja na ruzuku za shule za chelewa kutolewa sababu ni hiyooooo
 
Jeshi likikuongoza ndio halifanyi ufisadi?

Jeshi ndio litakuletea Maendeleo?

Kwani hata Sasa Pesa za miradi ya jeshi huwa unakagua wewe?

Umewahi kumuona Mwanajeshi wa Ngazi ya Juu Ni maskini?

Jeshi likishika ndio itakuwa mwisho kuhoji huwezi na huna Cha kuwafanya.

Kaulize Sudan, Egypt,Mali,Bukinafaso nk nk
Nafuu mara 10
 
Haya maandishi nidebe tupu hakuna lolote acheni viongozi wafanye kazi zao
Mkipewa Uhuru wakuongea mnajifanya mnaona mkinyimwa Uhuru mnaanza mapambio ooh mala hivi mala vile acheni unafiki kama hawafanyi vizuri muandamane
Hata hujielewi kabisa
 
Ngumi ya kichogo. Tunakopa kulipa mkopo. Bagosha
Kuna mama alisema hata kwenye maisha yetu ya kawaida unaweza kukopa kutoka kikoba kimoja unalipa kikoba kingine,nadhani serikali ya ccm ilisikia ushauri huu wanakopa kulipa madeni,iendelee kunyesha tujue panapovuja.
 
Miluzi hapa
Siku hizi Sijui niwamini nani.
Tutajua huko mbeleni...2025
 
Watu wanasimulia kuwa enzi za Mwinyi wafanyakazi walikuwa wakicheleweshewa mishahara hata kwa miezi 3. Ikafika mahali wafanyakazi wengi wakaacha kazi, maana mtaani kulikuwa na hela usipime.

Awamu ya Kikwete halmashauri nyingi Sana zilikuwa zinakopa fedha toka kwa matajiri ili kulipa mishahara. Halafu hao matajiri wanapewa tenda za ujenzi wa miradi ya serikali ktk halmashauri husika.

Awamu hii ya sita mwelekeo ni huo huo!

Hawa marais wema hawa wanaoishi sana. Kulikoni?
Kakudanganya nani!?..wazazi wangu walikua watumishi wa umma enzi za mwinyi,ingetokea wamekaa miezi mitatu bila mshahara tungekufa njaa,wakati wa kikwete nilikua mtu mzima,mishahara ya watumishi wa umma hutoka hazina,halmashauri gani ilikopa kwa tajiri kulipa waajiriwa!?..acheni uwongo nyie watu
 
Back
Top Bottom