Machawa mnaosaliti jamii na dhamira zenu mmesaliti hadi jinsia zenu, machawa MNAPAKATWAGenge la kina Maria na Nuruvazi ni la kigaidi.

Katika wazee wapumbavu wanaoitwa majaji duniani sidhani kama kuna wanaomzidi Chande na wazee wapumbavu wa tume yake
Na ndio maana akamchagua lizee la Hovyo Stephen Wassira awe makamu mwenyekiti wake.Bibi zee la HOVYO
Ikiwa hiyo idadi ni ndogo maana yake ipo kunbwa zaidi,majibu ya wanaomchukia samuya ni “YES”.sasa hii headline inamaana gani?…Katika wazee wapumbavu wanaoitwa majaji duniani sidhani kama kuna wanaomzidi Chande na wazee wapumbavu wa tume yake
Anayejua Maridhiano ya CCM na ACT ni ya nini atueleweshe.Wakuu,
Rais Samia ametoa onyo hilo leo Alhamisi, Julai 9, 2026, Ikulu ya Zanzibar wakati akihutubia hafla ya tamko la pamoja la maridhiano ya kisiasa Zanzibar baina ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na ACT-Wazalendo.
"Nataka nitumie pia fursa hii kuwaonya wale wote wanaojiita wanaharakati kwa jina ili wapate kutambulika duniani, lakini kiuhalisia matendo yao ni ya kigaidi.
Nataka niseme kidogo tafsiri ya ugaidi. Ugaidi unajumuisha vitendo vya uvunjifu mkubwa wa amani, uharibifu wa mali na miundombinu, vinavyokusudia kuitishia jamii au kuishurutisha serikali kukubaliana na matakwa ya watu au kundi fulani kwa ajili ya kutimiza haja za kisiasa, kiitikadi au kidini.
Lakini, kwa mustakabali wa sasa, dunia tunayokwenda nayo, unaweza ukafanyika pia ukikusudia kuirudisha nyuma nchi inayoendelea kwa kasi—pia inaweza ikatumika.
Watu au kundi hilo linakuwa na kauli zinazovaa sura ya kizalendo lakini kwa undani ni maslahi binafsi. Mtu anayeipenda nchi yake kiukweli huijenga na sio kuibomoa"
Raisi wa nchi hajui maana ya uana harakati? Harakati nn nini? Raisi durusuWakuu,

Ila kwenye maslahi yao yanaweza kuwa ya muda mfupi siyo?Ikiwa hiyo idadi ni ndogo maana yake ipo kunbwa zaidi,majibu ya wanaomchukia samuya ni “YES”.sasa hii headline inamaana gani?…
MABADILIKO SIO MCHAKATO WA MUDA MFUPI.
Ninatumia wanga nyingi na maji ya chumvi…kwa hali ilivyo ni vyema tujenge msingi mpya 2030 otherwise tutachosha vidole vyetu kwenye keyboards…Ila kwenye maslahi yao yanaweza kuwa ya muda mfupi siyo?
Ilichukua muda gani kwa katiba ya mwaka 1977 kuandikwa na kuwa adopted?
Na nini kilichosababisha wafute maoni ya wananchi kwenye rasimu ya tume ya Warioba? Kama wangekuwa na dhamira ya kweli ya mabadiliko nini kiliwafanya wachakachue maoni ya tume ya Warioba? What are you using to reasoning?
Haya siyo maridhiano ya maslahi ya TANZANIA, Bali ni maridhiano ya maslahi ya wazanzibari yaliyosukumwa na Bi Msumi kwa wazanzibari wenzie kwamba watulie wale mema ya nchi.Anayejua Maridhiano ya CCM na ACT ni ya nini atueleweshe.
Samia anataka kuridhiana na nani na kwannHaya siyo maridhiano ya maslahi ya TANZANIA, Bali ni maridhiano ya maslahi ya wazanzibari yaliyosukumwa na Bi Msumi kwa wazanzibari wenzie kwamba watulie wale mema ya nchi.
Muuaji anapotoa tafsiri ya gaidi!Genge la kina Maria na Nuruvazi ni la kigaidi.
Hapana unatumia hiyo kitu kwenye makalio, nimekuuliza mchakato ulioanzishwa na Kikwete kwa kutumia mabilioni ya pesa za walipa kodi kwa nini mashetani ya CCM yaliuchakachua?Ninatumia wanga nyingi na maji ya chumvi…kwa hali ilivyo ni vyema tujenge msingi mpya 2030 otherwise tutachosha vidole vyetu kwenye keyboards…
Hapo ndipo utajitambua huna hakili kama yule mtoto wako wa kike anayelainishwa matako…sasa nizungumzie ujinga wa kazi gani wakati huyo mpumbavu mwenzako amekatisha maisha ya ndugu zangu wengi.Hapana unatumia hiyo kitu kwenye makalio, nimekuuliza mchakato ulioanzishwa na Kikwete kwa kutumia mabilioni ya pesa za walipa kodi kwa nini mashetani ya CCM yaliuchakachua?
Hujanijibu, kwanini? Una Hila kama Bi Msumi
Kuna chama kimeshindwa siasa za hoja sasa kimegeuka genge la kigaidi kinatumia vyombo vya dola kuteka, kutesa, kupoteza na kuua wapinzani na wakosoaji, sasa hivi hakina tofauti na Bokoharam.Wakuu,
Rais Samia ametoa onyo hilo leo Alhamisi, Julai 9, 2026, Ikulu ya Zanzibar wakati akihutubia hafla ya tamko la pamoja la maridhiano ya kisiasa Zanzibar baina ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na ACT-Wazalendo.
"Nataka nitumie pia fursa hii kuwaonya wale wote wanaojiita wanaharakati kwa jina ili wapate kutambulika duniani, lakini kiuhalisia matendo yao ni ya kigaidi.
Nataka niseme kidogo tafsiri ya ugaidi. Ugaidi unajumuisha vitendo vya uvunjifu mkubwa wa amani, uharibifu wa mali na miundombinu, vinavyokusudia kuitishia jamii au kuishurutisha serikali kukubaliana na matakwa ya watu au kundi fulani kwa ajili ya kutimiza haja za kisiasa, kiitikadi au kidini.
Lakini, kwa mustakabali wa sasa, dunia tunayokwenda nayo, unaweza ukafanyika pia ukikusudia kuirudisha nyuma nchi inayoendelea kwa kasi—pia inaweza ikatumika.
Watu au kundi hilo linakuwa na kauli zinazovaa sura ya kizalendo lakini kwa undani ni maslahi binafsi. Mtu anayeipenda nchi yake kiukweli huijenga na sio kuibomoa"
Angetueleza hapo anaridhiana na nani kwanza?Samia anataka kuridhiana na nani na kwann
Yu wapialiyewauwa ndugu zetu hapo October 29?
Yupo wapi balozi Humphrey polepole