Rais Samia: Kuna wanaojiita wanaharakati lakini kiuhalisia matendo yao ni ya kigaidi

Kwel kabisa nimagaidi nawanaowatii pia kichwa kisicho na akili nimzigo kwa shingo bado sijaona katika wachangia mada punguzeni mahaba tumieni akili yani mnauza bidhaa ya millioni kwa buku afu mnadai kunafaida ajab sana
 
Dunia ya ajabu sn yani vizee ndio viongo na vinafiki kupitiliza.
Mama Abdul warejeshee nchi yao tushajikatia maeneo na kujenga maviwanda mengi km ya Nondo na mafamasi kibao
 
Wakuu,

Rais Samia ametoa onyo hilo leo Alhamisi, Julai 9, 2026, Ikulu ya Zanzibar wakati akihutubia hafla ya tamko la pamoja la maridhiano ya kisiasa Zanzibar baina ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na ACT-Wazalendo.

"Nataka nitumie pia fursa hii kuwaonya wale wote wanaojiita wanaharakati kwa jina ili wapate kutambulika duniani, lakini kiuhalisia matendo yao ni ya kigaidi.

Nataka niseme kidogo tafsiri ya ugaidi. Ugaidi unajumuisha vitendo vya uvunjifu mkubwa wa amani, uharibifu wa mali na miundombinu, vinavyokusudia kuitishia jamii au kuishurutisha serikali kukubaliana na matakwa ya watu au kundi fulani kwa ajili ya kutimiza haja za kisiasa, kiitikadi au kidini.

Lakini, kwa mustakabali wa sasa, dunia tunayokwenda nayo, unaweza ukafanyika pia ukikusudia kuirudisha nyuma nchi inayoendelea kwa kasi—pia inaweza ikatumika.

Watu au kundi hilo linakuwa na kauli zinazovaa sura ya kizalendo lakini kwa undani ni maslahi binafsi. Mtu anayeipenda nchi yake kiukweli huijenga na sio kuibomoa"

Screenshot_20251217-065939~2.png
 
Yaani anayeongea tu na kukosoa vitendo viovu vya watawala, anakuwa gaidi, Lakini anayeteka na kuua watu siyo gaidi!!

Kukubali hayo ni lazima upinduliwe, kichwa kiwe miguuni, nyayo zichukue nafasi ya kichwa.

Wenye akili wote wanajua kuwa tuna terrorist state, ambayo inawatisha watu kwa kuwateka, kuwaua, kuwapoteza na kuwabambikia kesi. Yaani state inawatisha watu wasidai haki zao, na wala wasiwakosoe watawala hata wanapokosea kwa kuhogia wakifanya hivyo, ama watauawa, watatekwa, watapotezwa au watabambikiwa kesi za uhaini.
 
Gaidi ni yule aliejipachika madarakani bila ridhaa ya wananchi na kufanya mauaji October 29 watoto wadogo

Ridhaaa ipi zaidi CCM ndio CHAMA Tawala chenye Watu wengi zaidi ????

Kama mi Chadema na ya baadhi ya Wachaga ndio hamkupiga kura
Ndio Wananch wote!!!!??

Wananchi kama Wananchi waliwakataa kabla ya October 2025 Ushahidi nakuwekea 👇👇🤠🤠
 
Attachments

  • 6185098-34c7b9f4eee53e3e336141c880c2b9c1.mp4
    7.3 MB
  • 6185091-062d1531af93d2f1b8746f218a1bc157.mp4
    17.7 MB
Gaidi ni yule aliyesema hadharini kuwa Ana kundi la chui weusi

Gaidi ni yule anayeteka na kuuwa watanganyika mwenzetu huku vyombo vya usalama vikiwa kimyaaa.
 
Watanzania tufanye toba na kufunga kwa wanaoweza Ili hii laana ndani ya taifa ya kupewa huyu shetani wa kizimkazi kututawala ifutike.
Kuna sehemu kama taifa tumemkosea Muumba au kuna kitu kikubwa kwa ukombozi wa jamii ndani ya taifa hili au CHANZO cha Baraka na IBILISI anakipinga ndio maana katuletea huyu shetani na Chama cha mashetani kuikamata nchi yetu

Mfunge malangapi si mlifunga Novena sasa mtafungwa nyinyi sio kufunga tena😜😜😜!!!!!

Mana Mungu kashajua kupitia VAR nyinyi ni Pepo chafu ndio mana kawafungia Vioo🚫

toka lini Pepo la Chuki linafunga ili iweje???

Labda uyo Mungu hawe wa Mchongo 🫎🫎🤣🤣
 
Samia apimwe akili, yaani yeye kaua maelfu ya watu kuliko Hamas anajiona sio Gaidi

Kwani ukivamia Bank Polisi wanakufanyaje?? Vituo vya mafuta kadhaaa Mabasi ya mwendo kasi na Vituo vyake kadhaaa 👈

Mabasi ya watu Binafsi kadhaa

Watanzania wamekatwa vidole

Ni Ugaidi wa wazi wazi kabisa👈

Chuki zenu mngeanzia kuchoma magodoro ya Wazazi wenu uko kwenu tungwasamehee

lkn kuanzia miundombinu ya Serikali 💥💥

Jaribuni tena muone kile kimewapate kondoo wenzenu✍️

Kama Pepo chafu la chuki limekupanda kwanza anza
kwenu 👈

Choma kabisa kitanda cha Wazazi wako kwanini wakuzae Pepo chafu kama wewe👈

Watanzania Wazalendo kwatabu tunalipa kodi zetu kujenga nchi yetu👈

nyinyi na chuki zenu za misalaba wakala wa Shetani mnaenda kuchoma kodi zetu👈

lazima nanyinyi mfe hata Kanisani zima mtakufa wote✍️

Kachomeni nyumba zenu kwanza
Baada ya apo ndio mje mtaani tutawasamehee

baada kitanda kuwaka MOTO ‼️

kinyume chake mnalejea kwenu Majina tu✍️
 
Mfunge malangapi si mlifunga Novena sasa mtafungwa nyinyi sio kufunga tena😜😜😜!!!!!

Mana Mungu kashajua kupitia VAR nyinyi ni Pepo chafu ndio mana kawafungia Vioo🚫

toka lini Pepo la Chuki linafunga ili iweje???

Labda uyo Mungu hawe wa Mchongo 🫎🫎🤣🤣
Kumbe huna akili napoteza mda wangu
 
Wakuu,

Rais Samia ametoa onyo hilo leo Alhamisi, Julai 9, 2026, Ikulu ya Zanzibar wakati akihutubia hafla ya tamko la pamoja la maridhiano ya kisiasa Zanzibar baina ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na ACT-Wazalendo.

"Nataka nitumie pia fursa hii kuwaonya wale wote wanaojiita wanaharakati kwa jina ili wapate kutambulika duniani, lakini kiuhalisia matendo yao ni ya kigaidi.

Nataka niseme kidogo tafsiri ya ugaidi. Ugaidi unajumuisha vitendo vya uvunjifu mkubwa wa amani, uharibifu wa mali na miundombinu, vinavyokusudia kuitishia jamii au kuishurutisha serikali kukubaliana na matakwa ya watu au kundi fulani kwa ajili ya kutimiza haja za kisiasa, kiitikadi au kidini.

Lakini, kwa mustakabali wa sasa, dunia tunayokwenda nayo, unaweza ukafanyika pia ukikusudia kuirudisha nyuma nchi inayoendelea kwa kasi—pia inaweza ikatumika.

Watu au kundi hilo linakuwa na kauli zinazovaa sura ya kizalendo lakini kwa undani ni maslahi binafsi. Mtu anayeipenda nchi yake kiukweli huijenga na sio kuibomoa"

Kuhusu Mwaipopo kasemaje?
 
We mama wewe, ulichotufanyia 29Oct hatujakisahau, hatutakaa tukisahau na hatukusamehi milele
#hatusahau29Øct
 
Mnabanabana pua Eti mnasamini Mali kuliko uhai 👈

Kama nyinyi hamkujua Samani ya Mali kwanini kwenu mlikuacha mkaenda kwenye Miundombinu ya Serikali‼️

mlidhani ile haina mwenyewe kumbe sisi kodi zenu zakuzichezea Kichadema na kikondoo kondoo ‼️

natamani mrudie tena tuwafate nyumba kwa nyumba wazazi wenu wajue wamezaa Mapepo sio watu nyie‼️

Wale wako nnje ndugu zao wawabebe kabisa Tanzania mana watajutia kinoma 👈

s mngechoma kwenu pengine mngetandikwa viboko na Wazazi wenu Mapepo nyinyi👈

lkn Miundombinu ya Serikali ni risasi za matak@ nk.
 
We mama wewe, ulichotufanyia 29Oct hatujakisahau, hatutakaa tukisahau na hatukusamehi milele
#hatusahau29Øct

Jilengeshe tena kwenye Miundombinu ya Serikali kisha mtaelewa ile chamtoto!!!

Sisi tunalipa kodi zetu nyinyi mje mzichome MOTO 👈

tena kipimo chasasa mtakimbia kuwa Wakimbizi mana kwanza amna faida
yoyote 👈

ushuzi tu umewajaaa✍️
 
Wengine tumeumia sana hawa mbwiga kubaki Salama 7+7 tunawatamani mmengejua mngejua☠️☠️

Wenye Mapepo sisi ndio tunajua Dawa yao✍️
 
Chadema chenyewe Wananchi hawakitaki mikoa mingi wamedunda kushawishi ujinga wao!!!

Yakikutana baadhi ya wachaga kwa wachaga kwao ndio wanaita Eti Wananchi wamegomea vile hawajachagua vile🫡😂
 
Wakuu,

Rais Samia ametoa onyo hilo leo Alhamisi, Julai 9, 2026, Ikulu ya Zanzibar wakati akihutubia hafla ya tamko la pamoja la maridhiano ya kisiasa Zanzibar baina ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na ACT-Wazalendo.

"Nataka nitumie pia fursa hii kuwaonya wale wote wanaojiita wanaharakati kwa jina ili wapate kutambulika duniani, lakini kiuhalisia matendo yao ni ya kigaidi.

Nataka niseme kidogo tafsiri ya ugaidi. Ugaidi unajumuisha vitendo vya uvunjifu mkubwa wa amani, uharibifu wa mali na miundombinu, vinavyokusudia kuitishia jamii au kuishurutisha serikali kukubaliana na matakwa ya watu au kundi fulani kwa ajili ya kutimiza haja za kisiasa, kiitikadi au kidini.

Lakini, kwa mustakabali wa sasa, dunia tunayokwenda nayo, unaweza ukafanyika pia ukikusudia kuirudisha nyuma nchi inayoendelea kwa kasi—pia inaweza ikatumika.

Watu au kundi hilo linakuwa na kauli zinazovaa sura ya kizalendo lakini kwa undani ni maslahi binafsi. Mtu anayeipenda nchi yake kiukweli huijenga na sio kuibomoa"

CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala .
 
Back
Top Bottom