Rais Samia: Kuna wanaojiita wanaharakati lakini kiuhalisia matendo yao ni ya kigaidi

Rais Samia: Kuna wanaojiita wanaharakati lakini kiuhalisia matendo yao ni ya kigaidi

Ninatumia wanga nyingi na maji ya chumvi…kwa hali ilivyo ni vyema tujenge msingi mpya 2030 otherwise tutachosha vidole vyetu kwenye keyboards…
Unazo akili kama za Samia mwenyewe, inawezekana hata genes zenu zinashabihiana...., "ni vyema tujenge msingi mpya 2030...". Umeelewa ulaghai ninaoulenga?
 
Hata walio karibu naye naona wamemwacha apambane kivyake.
Hii kweli ni hotuba ya kirais kwa jamii ambayo ipo kwenye majaribu makubwa kama ilivyo Tanzania sasa?
Wanampenda alivyo mweupe kichwani wanampeleka kama zezeta.
 
Chadema chenyewe Wananchi hawakitaki mikoa mingi wamedunda kushawishi ujinga wao!!!

Yakikutana baadhi ya wachaga kwa wachaga kwao ndio wanaita Eti Wananchi wamegomea vile hawajachagua vile🫡😂
Dada naona unachezea dushelele
 
ANC na Hamas wanapigania Ardhi yao ?
Na Chadema wanapigania nini????
Wewe hujui wanachopigania CHADEMA?

Basi tueleze Samia na Genge lake wanachokipigania ni nini kama hilo ndilo unalojuwa.
 
Kwani ukivamia Bank Polisi wanakufanyaje?? Vituo vya mafuta kadhaaa Mabasi ya mwendo kasi na Vituo vyake kadhaaa 👈

Mabasi ya watu Binafsi kadhaa

Watanzania wamekatwa vidole

Ni Ugaidi wa wazi wazi kabisa👈

Chuki zenu mngeanzia kuchoma magodoro ya Wazazi wenu uko kwenu tungwasamehee

lkn kuanzia miundombinu ya Serikali 💥💥

Jaribuni tena muone kile kimewapate kondoo wenzenu✍️

Kama Pepo chafu la chuki limekupanda kwanza anza
kwenu 👈

Choma kabisa kitanda cha Wazazi wako kwanini wakuzae Pepo chafu kama wewe👈

Watanzania Wazalendo kwatabu tunalipa kodi zetu kujenga nchi yetu👈

nyinyi na chuki zenu za misalaba wakala wa Shetani mnaenda kuchoma kodi zetu👈

lazima nanyinyi mfe hata Kanisani zima mtakufa wote✍️

Kachomeni nyumba zenu kwanza
Baada ya apo ndio mje mtaani tutawasamehee

baada kitanda kuwaka MOTO ‼️

kinyume chake mnalejea kwenu Majina tu✍️
Duh!
Hii ni kwa hisani ya "Mdogoee'!
Ni nani kama 'Mdogoee'!
 
Jilengeshe tena kwenye Miundombinu ya Serikali kisha mtaelewa ile chamtoto!!!

Sisi tunalipa kodi zetu nyinyi mje mzichome MOTO 👈

tena kipimo chasasa mtakimbia kuwa Wakimbizi mana kwanza amna faida
yoyote 👈

ushuzi tu umewajaaa✍️


Unamtishia nani ss, watu tunauchungu na watu waliopoteza uhakika kwakuuwa wa majumbani mwao bila sababu yoyote we unajidai unauchungu na miundombinu? Najua wewe umepandikizwa tu humu ili uvuruge vitu. Mungu akurehemu
 
Wakuu,

Rais Samia ametoa onyo hilo leo Alhamisi, Julai 9, 2026, Ikulu ya Zanzibar wakati akihutubia hafla ya tamko la pamoja la maridhiano ya kisiasa Zanzibar baina ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na ACT-Wazalendo.

Pia Soma:

"Nataka nitumie pia fursa hii kuwaonya wale wote wanaojiita wanaharakati kwa jina ili wapate kutambulika duniani, lakini kiuhalisia matendo yao ni ya kigaidi.

Nataka niseme kidogo tafsiri ya ugaidi. Ugaidi unajumuisha vitendo vya uvunjifu mkubwa wa amani, uharibifu wa mali na miundombinu, vinavyokusudia kuitishia jamii au kuishurutisha serikali kukubaliana na matakwa ya watu au kundi fulani kwa ajili ya kutimiza haja za kisiasa, kiitikadi au kidini.


Lakini, kwa mustakabali wa sasa, dunia tunayokwenda nayo, unaweza ukafanyika pia ukikusudia kuirudisha nyuma nchi inayoendelea kwa kasi—pia inaweza ikatumika.

Watu au kundi hilo linakuwa na kauli zinazovaa sura ya kizalendo lakini kwa undani ni maslahi binafsi. Mtu anayeipenda nchi yake kiukweli huijenga na sio kuibomoa"

Na chukuwachakomapema ni wezi, walafi, waroho, wanyima haki, watekaji watesaji WAUAJI...
 
Kwanini CHADEMA mnapenda kutukana mambo yanayohusiana na mapenzi ya jinsia moja? Neno shoga limewakaa kwenye vinywa vyenu.... hii inaashiria jinsi gani mnavyoshiriki hayo mambo maovu
Sijaona neno shoga kwenye mchango wake.
 
Wakuu,

Rais Samia ametoa onyo hilo leo Alhamisi, Julai 9, 2026, Ikulu ya Zanzibar wakati akihutubia hafla ya tamko la pamoja la maridhiano ya kisiasa Zanzibar baina ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na ACT-Wazalendo.

Pia Soma:

"Nataka nitumie pia fursa hii kuwaonya wale wote wanaojiita wanaharakati kwa jina ili wapate kutambulika duniani, lakini kiuhalisia matendo yao ni ya kigaidi.

Nataka niseme kidogo tafsiri ya ugaidi. Ugaidi unajumuisha vitendo vya uvunjifu mkubwa wa amani, uharibifu wa mali na miundombinu, vinavyokusudia kuitishia jamii au kuishurutisha serikali kukubaliana na matakwa ya watu au kundi fulani kwa ajili ya kutimiza haja za kisiasa, kiitikadi au kidini.


Lakini, kwa mustakabali wa sasa, dunia tunayokwenda nayo, unaweza ukafanyika pia ukikusudia kuirudisha nyuma nchi inayoendelea kwa kasi—pia inaweza ikatumika.

Watu au kundi hilo linakuwa na kauli zinazovaa sura ya kizalendo lakini kwa undani ni maslahi binafsi. Mtu anayeipenda nchi yake kiukweli huijenga na sio kuibomoa"

Tafsiri ya ugaidi inatofautiana mkoa hadi mkoa.
 
Back
Top Bottom