BabuFey
JF-Expert Member
- Feb 13, 2023
- 2,943
- 4,707
Huyu ajuza anatia aibu na huruma kila akifungua mdomo huongea utumbo mtupu.
Mwanaharakati gani amew ambia watu waharibu mali au kufanya vurugu zaidi ya kudai haki na uwajibikaji?
Zile fujo zililetwa na wstu waliochoshwa na maisha haya yasio na dira wala muelekeo zaidi ya kuwatajirisha maafisa wa serikali na kila aina maaskari.achillia mbali Angela, Abdul, Rostam na wengine kama wao