Rais Samia: Kuna wanaojiita wanaharakati lakini kiuhalisia matendo yao ni ya kigaidi

Katika wazee wapumbavu wanaoitwa majaji duniani sidhani kama kuna wanaomzidi Chande na wazee wapumbavu wa tume yake
Ikiwa hiyo idadi ni ndogo maana yake ipo kunbwa zaidi,majibu ya wanaomchukia samuya ni “YES”.sasa hii headline inamaana gani?…

MABADILIKO SIO MCHAKATO WA MUDA MFUPI.
 
Anayejua Maridhiano ya CCM na ACT ni ya nini atueleweshe.
 
Watanzania tufanye toba na kufunga kwa wanaoweza Ili hii laana ndani ya taifa ya kupewa huyu shetani wa kizimkazi kututawala ifutike.
Kuna sehemu kama taifa tumemkosea Muumba au kuna kitu kikubwa kwa ukombozi wa jamii ndani ya taifa hili au CHANZO cha Baraka na IBILISI anakipinga ndio maana katuletea huyu shetani na Chama cha mashetani kuikamata nchi yetu
 
Aibu
Raisi wa nchi hajui maana ya uana harakati? Harakati nn nini? Raisi durusu
 
Ikiwa hiyo idadi ni ndogo maana yake ipo kunbwa zaidi,majibu ya wanaomchukia samuya ni “YES”.sasa hii headline inamaana gani?…

MABADILIKO SIO MCHAKATO WA MUDA MFUPI.
Ila kwenye maslahi yao yanaweza kuwa ya muda mfupi siyo?
Ilichukua muda gani kwa katiba ya mwaka 1977 kuandikwa na kuwa adopted?
Na nini kilichosababisha wafute maoni ya wananchi kwenye rasimu ya tume ya Warioba? Kama wangekuwa na dhamira ya kweli ya mabadiliko nini kiliwafanya wachakachue maoni ya tume ya Warioba? What are you using to reasoning?
 
Ninatumia wanga nyingi na maji ya chumvi…kwa hali ilivyo ni vyema tujenge msingi mpya 2030 otherwise tutachosha vidole vyetu kwenye keyboards…
 
Ninatumia wanga nyingi na maji ya chumvi…kwa hali ilivyo ni vyema tujenge msingi mpya 2030 otherwise tutachosha vidole vyetu kwenye keyboards…
Hapana unatumia hiyo kitu kwenye makalio, nimekuuliza mchakato ulioanzishwa na Kikwete kwa kutumia mabilioni ya pesa za walipa kodi kwa nini mashetani ya CCM yaliuchakachua?
Hujanijibu, kwanini? Una Hila kama Bi Msumi
 
Hapo ndipo utajitambua huna hakili kama yule mtoto wako wa kike anayelainishwa matako…sasa nizungumzie ujinga wa kazi gani wakati huyo mpumbavu mwenzako amekatisha maisha ya ndugu zangu wengi.
 
Kuna chama kimeshindwa siasa za hoja sasa kimegeuka genge la kigaidi kinatumia vyombo vya dola kuteka, kutesa, kupoteza na kuua wapinzani na wakosoaji, sasa hivi hakina tofauti na Bokoharam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…