This bi+ch is incomprehensibly stupid. Magaidi ni wale majambazi wake wanaoteka, kutesa na/au kupoteza watu. No one is terrorizing more people than her fvcking government!Wakuu,
Rais Samia ametoa onyo hilo leo Alhamisi, Julai 9, 2026, Ikulu ya Zanzibar wakati akihutubia hafla ya tamko la pamoja la maridhiano ya kisiasa Zanzibar baina ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na ACT-Wazalendo.
"Nataka nitumie pia fursa hii kuwaonya wale wote wanaojiita wanaharakati kwa jina ili wapate kutambulika duniani, lakini kiuhalisia matendo yao ni ya kigaidi.
Nataka niseme kidogo tafsiri ya ugaidi. Ugaidi unajumuisha vitendo vya uvunjifu mkubwa wa amani, uharibifu wa mali na miundombinu, vinavyokusudia kuitishia jamii au kuishurutisha serikali kukubaliana na matakwa ya watu au kundi fulani kwa ajili ya kutimiza haja za kisiasa, kiitikadi au kidini.
Lakini, kwa mustakabali wa sasa, dunia tunayokwenda nayo, unaweza ukafanyika pia ukikusudia kuirudisha nyuma nchi inayoendelea kwa kasi—pia inaweza ikatumika.
Watu au kundi hilo linakuwa na kauli zinazovaa sura ya kizalendo lakini kwa undani ni maslahi binafsi. Mtu anayeipenda nchi yake kiukweli huijenga na sio kuibomoa"
Wakuu,

Yeye mwenyewe kaunda serekali ya kigaidi, iliona uchaguzi ikajiingiza madarakani, inateka na kupoteza raia, inabainika kesi,...hii ni serikali ya kigaidi.Wakuu,
Rais Samia ametoa onyo hilo leo Alhamisi, Julai 9, 2026, Ikulu ya Zanzibar wakati akihutubia hafla ya tamko la pamoja la maridhiano ya kisiasa Zanzibar baina ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na ACT-Wazalendo.
"Nataka nitumie pia fursa hii kuwaonya wale wote wanaojiita wanaharakati kwa jina ili wapate kutambulika duniani, lakini kiuhalisia matendo yao ni ya kigaidi.
Nataka niseme kidogo tafsiri ya ugaidi. Ugaidi unajumuisha vitendo vya uvunjifu mkubwa wa amani, uharibifu wa mali na miundombinu, vinavyokusudia kuitishia jamii au kuishurutisha serikali kukubaliana na matakwa ya watu au kundi fulani kwa ajili ya kutimiza haja za kisiasa, kiitikadi au kidini.
Lakini, kwa mustakabali wa sasa, dunia tunayokwenda nayo, unaweza ukafanyika pia ukikusudia kuirudisha nyuma nchi inayoendelea kwa kasi—pia inaweza ikatumika.
Watu au kundi hilo linakuwa na kauli zinazovaa sura ya kizalendo lakini kwa undani ni maslahi binafsi. Mtu anayeipenda nchi yake kiukweli huijenga na sio kuibomoa"
So,ni muda wa kulishona?Genge la kina Maria na Nuruvazi ni la kigaidi.
Hivi usikute hata maana halisi ya neno ugaidi, uhaini! haijui!Wakuu,
Rais Samia ametoa onyo hilo leo Alhamisi, Julai 9, 2026, Ikulu ya Zanzibar wakati akihutubia hafla ya tamko la pamoja la maridhiano ya kisiasa Zanzibar baina ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na ACT-Wazalendo.
"Nataka nitumie pia fursa hii kuwaonya wale wote wanaojiita wanaharakati kwa jina ili wapate kutambulika duniani, lakini kiuhalisia matendo yao ni ya kigaidi.
Nataka niseme kidogo tafsiri ya ugaidi. Ugaidi unajumuisha vitendo vya uvunjifu mkubwa wa amani, uharibifu wa mali na miundombinu, vinavyokusudia kuitishia jamii au kuishurutisha serikali kukubaliana na matakwa ya watu au kundi fulani kwa ajili ya kutimiza haja za kisiasa, kiitikadi au kidini.
Lakini, kwa mustakabali wa sasa, dunia tunayokwenda nayo, unaweza ukafanyika pia ukikusudia kuirudisha nyuma nchi inayoendelea kwa kasi—pia inaweza ikatumika.
Watu au kundi hilo linakuwa na kauli zinazovaa sura ya kizalendo lakini kwa undani ni maslahi binafsi. Mtu anayeipenda nchi yake kiukweli huijenga na sio kuibomoa"
Kama amiri jeshi kashasema jua kuna watu waliosomea hiyo kazi ya kupambana na magaidi wapo kazini kuwashughulikia.So,ni muda wa kulishona?
Soon itafunguliwa kesi ya ugaidi....kweli nchi imebakwaGenge la kina Maria na Nuruvazi ni la kigaidigaidi
Kuna muda huyu mama anaongea kama amekatwa kichwaWakuu,
Rais Samia ametoa onyo hilo leo Alhamisi, Julai 9, 2026, Ikulu ya Zanzibar wakati akihutubia hafla ya tamko la pamoja la maridhiano ya kisiasa Zanzibar baina ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na ACT-Wazalendo.
"Nataka nitumie pia fursa hii kuwaonya wale wote wanaojiita wanaharakati kwa jina ili wapate kutambulika duniani, lakini kiuhalisia matendo yao ni ya kigaidi.
Nataka niseme kidogo tafsiri ya ugaidi. Ugaidi unajumuisha vitendo vya uvunjifu mkubwa wa amani, uharibifu wa mali na miundombinu, vinavyokusudia kuitishia jamii au kuishurutisha serikali kukubaliana na matakwa ya watu au kundi fulani kwa ajili ya kutimiza haja za kisiasa, kiitikadi au kidini.
Lakini, kwa mustakabali wa sasa, dunia tunayokwenda nayo, unaweza ukafanyika pia ukikusudia kuirudisha nyuma nchi inayoendelea kwa kasi—pia inaweza ikatumika.
Watu au kundi hilo linakuwa na kauli zinazovaa sura ya kizalendo lakini kwa undani ni maslahi binafsi. Mtu anayeipenda nchi yake kiukweli huijenga na sio kuibomoa"
Wakuu,
Rais Samia ametoa onyo hilo leo Alhamisi, Julai 9, 2026, Ikulu ya Zanzibar wakati akihutubia hafla ya tamko la pamoja la maridhiano ya kisiasa Zanzibar baina ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na ACT-Wazalendo.
"Nataka nitumie pia fursa hii kuwaonya wale wote wanaojiita wanaharakati kwa jina ili wapate kutambulika duniani, lakini kiuhalisia matendo yao ni ya kigaidi.
Nataka niseme kidogo tafsiri ya ugaidi. Ugaidi unajumuisha vitendo vya uvunjifu mkubwa wa amani, uharibifu wa mali na miundombinu, vinavyokusudia kuitishia jamii au kuishurutisha serikali kukubaliana na matakwa ya watu au kundi fulani kwa ajili ya kutimiza haja za kisiasa, kiitikadi au kidini.
Lakini, kwa mustakabali wa sasa, dunia tunayokwenda nayo, unaweza ukafanyika pia ukikusudia kuirudisha nyuma nchi inayoendelea kwa kasi—pia inaweza ikatumika.
Watu au kundi hilo linakuwa na kauli zinazovaa sura ya kizalendo lakini kwa undani ni maslahi binafsi. Mtu anayeipenda nchi yake kiukweli huijenga na sio kuibomoa"
Mtu kama yeye anayeungana na kundi na kunyang'ang'anya haki ya wananchi kuchagua viongozi wanaowataka wao hao hawamo katika kundi la hao wanaofanya ugaidi?Nataka niseme kidogo tafsiri ya ugaidi. Ugaidi unajumuisha vitendo vya uvunjifu mkubwa wa amani, uharibifu wa mali na miundombinu, vinavyokusudia kuitishia jamii au kuishurutisha serikali kukubaliana na matakwa ya watu au kundi fulani kwa ajili ya kutimiza haja za kisiasa, kiitikadi au kidini
"Inayoendelea kwa kasi"Wakuu,
Rais Samia ametoa onyo hilo leo Alhamisi, Julai 9, 2026, Ikulu ya Zanzibar wakati akihutubia hafla ya tamko la pamoja la maridhiano ya kisiasa Zanzibar baina ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na ACT-Wazalendo.
"Nataka nitumie pia fursa hii kuwaonya wale wote wanaojiita wanaharakati kwa jina ili wapate kutambulika duniani, lakini kiuhalisia matendo yao ni ya kigaidi.
Nataka niseme kidogo tafsiri ya ugaidi. Ugaidi unajumuisha vitendo vya uvunjifu mkubwa wa amani, uharibifu wa mali na miundombinu, vinavyokusudia kuitishia jamii au kuishurutisha serikali kukubaliana na matakwa ya watu au kundi fulani kwa ajili ya kutimiza haja za kisiasa, kiitikadi au kidini.
Lakini, kwa mustakabali wa sasa, dunia tunayokwenda nayo, unaweza ukafanyika pia ukikusudia kuirudisha nyuma nchi inayoendelea kwa kasi—pia inaweza ikatumika.
Watu au kundi hilo linakuwa na kauli zinazovaa sura ya kizalendo lakini kwa undani ni maslahi binafsi. Mtu anayeipenda nchi yake kiukweli huijenga na sio kuibomoa"
Kwani yaliyotokea October 29 umeyasahu ?Ugaidi wa maneno au wamefanya matendo gani na Serikali ilikuwa wapi?
Tupe majibu nan walioua watu 29 mwez wa kumi......Genge la kina Maria na Nuruvazi ni la kigaidi.
Bila shaka kwa kiwango Cha elimu yake Samia hajui maana yawwnaharakatiAngetueleza hapo anaridhiana na nani kwanza?
Magaidi?
Wahaini?
Au aliowaita who are you?
Hata walio karibu naye naona wamemwacha apambane kivyake.Akajifunze upya maana ya harakati na mwanaharakati maana elimu yake yenyewe ya hapa na pale anahitaji kupenyezewa kama anavyosema mara nyingi ila kwa uwezo wake hawezi kuchanganua mambo.