Rais Samia: Kuna wanaojiita wanaharakati lakini kiuhalisia matendo yao ni ya kigaidi

Ninatumia wanga nyingi na maji ya chumvi…kwa hali ilivyo ni vyema tujenge msingi mpya 2030 otherwise tutachosha vidole vyetu kwenye keyboards…
Unazo akili kama za Samia mwenyewe, inawezekana hata genes zenu zinashabihiana...., "ni vyema tujenge msingi mpya 2030...". Umeelewa ulaghai ninaoulenga?
 
Hata walio karibu naye naona wamemwacha apambane kivyake.
Hii kweli ni hotuba ya kirais kwa jamii ambayo ipo kwenye majaribu makubwa kama ilivyo Tanzania sasa?
Wanampenda alivyo mweupe kichwani wanampeleka kama zezeta.
 
Chadema chenyewe Wananchi hawakitaki mikoa mingi wamedunda kushawishi ujinga wao!!!

Yakikutana baadhi ya wachaga kwa wachaga kwao ndio wanaita Eti Wananchi wamegomea vile hawajachagua vile🫡😂
Dada naona unachezea dushelele
 
Zara boy passe the weed, i'm about to say some real shit nigga
 
ANC na Hamas wanapigania Ardhi yao ?
Na Chadema wanapigania nini????
Wewe hujui wanachopigania CHADEMA?

Basi tueleze Samia na Genge lake wanachokipigania ni nini kama hilo ndilo unalojuwa.
 
Duh!
Hii ni kwa hisani ya "Mdogoee'!
Ni nani kama 'Mdogoee'!
 


Unamtishia nani ss, watu tunauchungu na watu waliopoteza uhakika kwakuuwa wa majumbani mwao bila sababu yoyote we unajidai unauchungu na miundombinu? Najua wewe umepandikizwa tu humu ili uvuruge vitu. Mungu akurehemu
 
Na chukuwachakomapema ni wezi, walafi, waroho, wanyima haki, watekaji watesaji WAUAJI...
 
Kwanini CHADEMA mnapenda kutukana mambo yanayohusiana na mapenzi ya jinsia moja? Neno shoga limewakaa kwenye vinywa vyenu.... hii inaashiria jinsi gani mnavyoshiriki hayo mambo maovu
Sijaona neno shoga kwenye mchango wake.
 
Tafsiri ya ugaidi inatofautiana mkoa hadi mkoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…