johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huu ndio ukweli wenyeweHaitanoga kama haiondoki na watu. [emoji23]
Imeshaeditiwa hiyo. Katelephone na Ntibazonkiza hawawezi kukosa. Basi tuletewe hiyo hiyo kanyaboya ripotiRais Samia amesema CAG ameshakamilisha ripoti ya CAG kuhusu Benki kuu kwa kipindi cha kuanzia January hadi March 2021 na ataikabidhi kwake siku ya Jumatano au Alhamisi.
Umma utaelezwa yaliyomo ndani ya ripoti hiyo, amesisitiza Rais Samia.
Chanzo: ITV
Mtu mkuu kwenye hayo madudu alishaondoka kitambo! Lakini nakubali, zipigwe dagaa kadhaa, zimfuate kambale kule!Haitanoga kama haiondoki na watu. [emoji23]