Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CAG asijesema tu kuwa
Yale magorofa mawili ya BOT yanasababisha foleni.
Au yanazuia upepo kuvuma kuelekea Ikulu.
Maana hashindwi huyu jamaa. Kutupiga za uso, halafu anashushia na maji.
Tulia tulia sindano ikuingie....subiri report utaelewaSasa Bashiru hapa anausika vipi;yeye kwani aliisha kuwa katibu mkuu wa azina au BOT?
Aa
Wewe usubiri liport, kuliko kuja na umbea ambao hauna maana.Tulia tulia sindano ikuingie....subiri report utaelewa
Ahahahahah au nasema uongo ndugu zangu! Dah Magu nilikuwa nampenda sana gesture yake ile ya kutumia mkono..yaani mkono ukiwa unaendelea kujitingisha huku ashamaliza kuongea namaanisha gestures zinapishana na maneno ahahahaTumechezewa sana ndugu zangu, tumelaliwa mno watanzania
Ratiba ya hilo Tukio ilikuwa ni jana je, imekuwaje ikabadilishwa ghafla tena kimya kimya tu? au imecheleweshwa ili watengeneze Mazingira ya Kuwalinda Wahusika wakuu wa Uozo kuanzia na aliyeko Ziarani nchini Ufaransa sasa?Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari Rais Samia alisema anatarijia kupokea ripoti ya CAG kuhusu BoT tarehe 30 June au 1 July.
Mungu ni mwema labda itakuwa leo.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Hili@elitwege Ni hasara kwa wazaziHuu msiba haujavuruga ratiba kweli?
Ila mkuu siku hizi umepoa sana nadhani bado upo kwenye maombolezo?
Kuna huyu Elitwege yeye haeleweki anacho ongea kwenye kila mada anayochangia.
Bwashee umeshawasili Tabata?Wamekuwa kama headless chickens
Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari Rais Samia alisema anatarijia kupokea ripoti ya CAG kuhusu BoT tarehe 30 June au 1 July.
Mungu ni mwema labda itakuwa leo.
Nawasalimu kwa jina la JMT!