Rais Samia kupokea ripoti ya miezi mitatu (Januari-Machi) ya Benki Kuu kutoka kwa CAG

Rais Samia kupokea ripoti ya miezi mitatu (Januari-Machi) ya Benki Kuu kutoka kwa CAG

Ukiwa unajua kusikiliza utaona rais mwenyewe alivyosema alikuwa hana uhakika.

Rais anakwenda bila ratiba ya kueleweka.

Alianza kusema Jumatano.

Akasema Jumatano au Alhamisi.

Na hata Alhamisi ikipita bila ripoti kupelekwa kwa rais, au hilo kuonekana, sitashangaa.
Hakutaja tarehe, inwezekana ikawa hata Jumtano ya tarehe 24/09/2025!
 
Kuna chombo cha habari kilichouliza kwa nini jumatano imepita na haijatoka au wana "heshima ya kiafrika" kwa mama ?🐒
 
Kuna chombo cha habari kilichouliza kwa nini jumatano imepita na haijatoka au wana "heshima ya kiafrika" kwa mama ?[emoji205]
Vinaweza kumuomba afikirie uwezekano wa kuanzisha mchakato wa kutazama faida zinazoweza kuwepo katika zoezi la kurasimisha uratibu wa utaratibu kutangaza kupokelewa ripoti.
 
Na hamu naisubiria sijui ni lini itasomwa live.
 
Rais Samia amesema CAG ameshakamilisha ripoti ya CAG kuhusu Benki kuu kwa kipindi cha kuanzia January hadi March 2021 na ataikabidhi kwake siku ya Jumatano au Alhamisi.

Umma utaelezwa yaliyomo ndani ya ripoti hiyo, amesisitiza Rais Samia.

Chanzo: ITV
Haina jipya imeishia kuzungumzia madai ya wakandarasi, maza kasha tengenezwa vizuri hana meno tena.
 
Wewe mkuu unaweza kuwa mtu hatari sana. Sana tu.

Yani inaonekana ushapoteza imani na mfumo mzima.

Kuna sehemu yoyote ambayo bado una imani nayo?
Mama pale ikulu kaja wapemba Tu, ukigeuka huku Mpemba, Huku Mpemba Yani Ni Tafulani PSU Nzima kwa Sasa
 
Mama pale ikulu kaja wapemba Tu, ukigeuka huku Mpemba, Huku Mpemba Yani Ni Tafulani PSU Nzima kwa Sasa
Acha kuwaita Wapemba.

Wale Watanzania mkuu.

Tatizo labda wakiwa Wasomali.
 
Wazanzibar kibao wamejaa PSU Wote, Juzi akiwa Msumbiji alifanya boko Hatari [emoji3][emoji3]
Msumbiji mkutano wa kwanza ali delegate Rais Mwinyi wa Zanzibar aende.

Kuwakilisha Tanzania.

Wakati Mwinyi Rais wa Zanzibar halafu Mambo ya Nje si suala la Muungano.

Huyu rais anachemka sana.
 
Back
Top Bottom