Rais Samia kupokea ripoti ya miezi mitatu (Januari-Machi) ya Benki Kuu kutoka kwa CAG

Rais Samia kupokea ripoti ya miezi mitatu (Januari-Machi) ya Benki Kuu kutoka kwa CAG

Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari Rais Samia alisema anatarijia kupokea ripoti ya CAG kuhusu BoT tarehe 30 June au 1 July.

Mungu ni mwema labda itakuwa leo.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
bado, mama ananyoosha kwa nza nchi, mambo ya ripoti, sijui katiba mpya, sijui mikutano ya wapinzani inapaswa kusubiri kwanza.
 
Bwashee umeshawasili Tabata?
Bwashee upo? Mimi nategemea neno toka kwako kwa matukio ya Mama wiki hii na iliyopita. Nadhani mama anakwenda kuwa Kama Idd Amin.
Tuombe Mungu au twende.msituni?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kàma Mwenda Ufaransa yumo, ie yuko implicated, sahau kitolewa na si rahisi wakuwa victimise wengine yeye wakamtoa. Imeisha hiyo
 
Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari Rais Samia alisema anatarijia kupokea ripoti ya CAG kuhusu BoT tarehe 30 June au 1 July.

Mungu ni mwema labda itakuwa leo.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Yale Yale ya ESCROW tutarajie kusikia BOT hakuna Wizi uliofanyika
 
Kwanza unajengwa uchumi hiyo katiba isubiri.

Kwanza akili inaenda kufanya kazi ya kuzalisha mali hayo ya kupitia vifungu vya katiba muda wake bado.
 
Rais Samia amesema CAG ameshakamilisha ripoti ya CAG kuhusu Benki kuu kwa kipindi cha kuanzia January hadi March 2021 na ataikabidhi kwake siku ya Jumatano au Alhamisi.

Umma utaelezwa yaliyomo ndani ya ripoti hiyo, amesisitiza Rais Samia.

Chanzo: ITV
CAG amekalisha ripoti ya CAG na siyo ya ukaguzi?niweke sawa hapo.
 
Wandugu si jana tukliahidiwa tutakuwa live makabidhiano ya uchunguzi wa mahesabu ya BOT kuanzia january to march?
 
Ripoti za mtaa zinasema wimbo wa Salute wa Alikiba unatrend ile mbaya, sasa hivi umefikisha views milioni moja au unataka ripoti gani tena? 🤣
 
Back
Top Bottom