Rais Samia kupokea ripoti ya miezi mitatu (Januari-Machi) ya Benki Kuu kutoka kwa CAG

Rais Samia kupokea ripoti ya miezi mitatu (Januari-Machi) ya Benki Kuu kutoka kwa CAG

Watuhumiwa wanajidedisha kwa vifo vya ghafla... Mama bora aache tu yapite
 
Kuna wahusika wameenda Ziara mmoja Burundi, Mwingine France
 
dah ila aliahidi mwenyewe siku anaongea na wahariri tena ajauliza leo siku gani???walivyomjibu akasema jumatano napokea ripoti na tukio litakuwa live ila kimyaaaaaa na wadau wamekausha
... Rais hakosei wala hasemagi uongo wewe!
 
CCM wanaichakachua kwanza kabla ya kuisoma kwa maslahi mapana ya taifa
 
Ukiwa unajua kusikiliza utaona rais mwenyewe alivyosema alikuwa hana uhakika.

Rais anakwenda bila ratiba ya kueleweka.

Alianza kusema Jumatano.

Akasema Jumatano au Alhamisi.

Na hata Alhamisi ikipita bila ripoti kupelekwa kwa rais, au hilo kuonekana, sitashangaa.
 
sasa kama tatizo imegusa vigogo na wanaogopa kuisoma basi wasitushirikishe wafilisi tu hizo hazina maana hata wakifanya kuna washangiliaji watawaunga mkono, inachosha sana
 
Aina ya viongozi tuliona nao Kama taifa ni aibu kubwa Sana rais kutokuwa na taarifa sahihi hii inamshushia credibility Kama mkuu wa nchi.
 
sasa kama tatizo imegusa vigogo na wanaogopa kuisoma basi wasitushirikishe wafilisi tu hizo hazina maana hata wakifanya kuna washangiliaji watawaunga mkono, inachosha sana
Mkuu unataka wakupige tu, wasikujulishe wamekupigaje kwani kukujulisha kutakuongezea maumivu siyo?
 
Aina ya viongozi tuliona nao Kama taifa ni aibu kubwa Sana rais kutokuwa na taarifa sahihi hii inamshushia credibility Kama mkuu wa nchi.
Pia, hakuwa na haja ya kutangaza siku ya ripoti kuwakilishwa kama yeye mwenyewe hana uhakika na siku hiyo.

Anachachawa kwenye maswali aliyoulizwa mpaka anatupa majibu yasiyo uhakika kwenye maswali ambayo hajaulizwa!
 
wafanye wanavyotaka kwa kweli tu hata katiba mpya wasiweke maana itawabana sana
Wewe mkuu unaweza kuwa mtu hatari sana. Sana tu.

Yani inaonekana ushapoteza imani na mfumo mzima.

Kuna sehemu yoyote ambayo bado una imani nayo?
 
Tushukuru awamu Hii mambo yapo wazi na watu wana uhuru wa kujadili
 
Bado hatujamalizia kuchakachua ili kumuokoa kigogo fulani ambae alitia saini yake hela zikapigwa.Kuweni na subira tumalizie kuchakachua ripoti.
 
Back
Top Bottom