Rais Samia kushinda uchaguzi ujao kwa Asilimia 86% kihalali Uchaguzi ujao 2025

Magufuli ilikuwa atawale hadi 2040 leo hii yuko wapi?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 

Aende akagombee kwao Zanzibar, Watanganyika walio wengi hatumuitaji,haende akawarembulie Wazanzibar wenzake huko
 
Binafsi hapati kura yangu
 
We bake na njaa Rais atashinda uchaguzi
Atashinda Palefu sana
Atashinda zaidi.kwani vyama pinzani sivimegoma kutoshiriki uchaguzi kama ambavyo wamemgomea msajili wa vyama.
 
"Uchaguzi ujao Rais Samia atashinda asilimia 86% kihalali sababu ni kuwa kila mtanzania atakua na hela."

Upuuzi huu.
 
Endeleeni kumdanganya Bi. Hangaya
 
Hiyo slogan ya kazi iendelee ni mbaya mno. Yaani watu wameshaihusisha na rushwa, uzembe na ubadhirifu serikalini. Yaani kazi iendelee ni ile ya JK. Mama alikosea sana tena sana kuachana na hapa kazi tu. Yaani bora angeacha hapa kazi tu watu wangemuelewa. Lakini kwa sasa anachukiwa SANA mitaani yaani kila sehemu watu wana msonya. Tumuombee Mungu apite NEC, ila hali ya mitaani kwake ni NGUMU sana.
 
We muongo
 
Aondoe vikwazo vya Demokrasia watanzania wawe na Uhuru wa kuchaguliwa na kuchaguliwa kwa misingi ya haki
 
Kazi iendelee tukutane 2025 Samia mitano Tena....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…