Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Mkuu, wengi huwa wanajitoa ufahamu, kwa kujifanya kusahau hiki ulichokieleza.Ndugu,
Yaonekana kabisa kama wewe ndio bado umebaki wajifanya hujui vizuri.
Kwa Tume ya Uchaguzi na Katiba iliyopo; CCM haihitaji kupata kura za mtu yeyote hata ya kwako ili 'kushinda'. Hata kama watu 'wote' hamtaenda kupiga kura, wao kupitia maDED, NEC na vyombo vya dola watapanga na kupata ushindi kwa jinsi wanavyoutaka.
Nitumie picha yako niipigie nyeto.Jichue uko
Bosi mkubwa wapo wengi, ukitaka ushahidi pita kitaa. Kikubwa Mama apite NEC kwa wananchi huwa hamna shidaWe mmoja tuko milion 60 utatuambia nn
Sema wewe na familia yako mtamchagua huyo unayemtaka, usitujumuishe wote (Watanzania)Watanzania tutaamchagua Rais Samia kwa kishindo
Kwa utafiti wa REDET na kwa tume ya uchaguzi iliyopo ni sawaHadi sasa umaarufu wa Rais Samia unazidi kuongezeka ndani na nje ya nchi. Vijana, wasomi, wakulima na wafanyabiashara wanazidi kumuelewa Rais Samia na wanaona unafuu mkubwa wa maisha tangu Rais Samia kushika Madaraka Mwezi March mwaka huu.
Hivyo hakuna wa kumzuia Rais Samia katika uchaguzi ujao.
Uchaguzi ujao Rais Samia atashinda asilimia 86% kihalali sababu ni kuwa kila mtanzania atakua na hela. Biashara zitakuwa zimechangamka, viwanda sio vyerehani nasema viwanda vitakuwa nchi nzima vijana watapata ajira, watumishi watapata nyongeza za mshahara, sekta binafsi itakuwa imeimarika zaidi na zaidi.
Pia hakuna mpinzani ndani na nje ya chama wa kushindaniwa na Rais Samia. Nawek rekodi sawa mwaka 2025 sio mbali.
Rais Samia
#KAZI IENDELEE
Zama za CCM kushinda kihalali zimeshipita. Na bila tume huru ya uchaguzi hakuna mtu mwenye akili timamu atashiriki huu upuuzi uitwao uchaguzi.Ushindi wa haki ushundi wa kishindo
Samia = Gorbachev. Ataivunja CCM na Muungano. Mtaniambia.Hadi sasa umaarufu wa Rais Samia unazidi kuongezeka ndani na nje ya nchi. Vijana, wasomi, wakulima na wafanyabiashara wanazidi kumuelewa Rais Samia na wanaona unafuu mkubwa wa maisha tangu Rais Samia kushika Madaraka Mwezi March mwaka huu.
Hivyo hakuna wa kumzuia Rais Samia katika uchaguzi ujao.
Uchaguzi ujao Rais Samia atashinda asilimia 86% kihalali sababu ni kuwa kila mtanzania atakua na hela. Biashara zitakuwa zimechangamka, viwanda sio vyerehani nasema viwanda vitakuwa nchi nzima vijana watapata ajira, watumishi watapata nyongeza za mshahara, sekta binafsi itakuwa imeimarika zaidi na zaidi.
Pia hakuna mpinzani ndani na nje ya chama wa kushindaniwa na Rais Samia. Nawek rekodi sawa mwaka 2025 sio mbali.
Rais Samia
#KAZI IENDELEE
Labda 51-49 Samia na hapo itakuwa Chupu chupu.Ndio namaanisha anaweza kushinda zaidi ya hapo
Kumtoa incumbent president madarakani inabidi kutumia mbinu za ziada. na watu kujitoa sadaka. Hatuna aina hiyo ya wanasiasa TanzaniaHadi sasa umaarufu wa Rais Samia unazidi kuongezeka ndani na nje ya nchi. Vijana, wasomi, wakulima na wafanyabiashara wanazidi kumuelewa Rais Samia na wanaona unafuu mkubwa wa maisha tangu Rais Samia kushika Madaraka Mwezi March mwaka huu.