Rais Samia kuzuru Rwanda kwa Ziara ya Siku Mbili (Agosti 2-3, 2021)

Huyu mama anafeli. Kagame hawezi kumshauri lolote la maana zaidi ya kuua demokrasia. hivi hakujifunza kwa Jiwe?
Umekumbuka Kunywa leo Dawa zako za Ugonjwa wa Akili unaokusumbua kwa muda mrefu sasa?
 
Aiseeee.
Ijulikane Kagame bado anaomboleza kifo cha ndugu yake. Damu ni nzito kuliko maji. Hawezi kuwa na maslahi kabisa maana mbaya wake ndiyo yuko mahali fulani katika kiti cha enzi utawala huu. Narudia Siyo ya maslahi. Msije tu mkalipiziwa kisasi taratibu na Jasusi mbobevu mwenye links na majasusi wa dunia. Niishie Tu hapo Rais wangu nimpendaye.
 
Niamini mimi. Moja ya marais very smart duniani ni pamoja na Kagame Paul kwa maslahi ya Nchi yake.

Hii ziara ya Rais Samia Rwanda ....Kagame anajua anachofanya. Huyu jamaa huwa haitii hasara Rwanda niamini mimi. Akiona kuna issue au mradi hauna faida kwa Rwanda anaupiga chini. Hana majadiliano.

Yaani unahitaji kuwa very smart kufaidika na Kagame .otherwise njia nyingine ya kuwa smart ni kukaa naye mbali tu kumwangalia. Hii ziara na hayo makubaliano mfaidika Mkuu ni Paul Kagame. Niamini mimi.
 
Tulifiwana JPM, hata Pole hakuja kutupa.
 
Hiyo inaitwa MGUU NA NJIA,
DRC nao wameshafikisha salaam.
Tukifiwa tunatakiwa tuwe watulivu angalau huzuni iishe ndipo tuanze kwenda ukumbini
 
We jamaa una asili ya Rwanda nini? mbona huwa unaitetea sana hii nchi
 
Huyu mama hapana aisee [emoji119][emoji119][emoji119] huko sio kujitambulisha sasa em akae atulie aache maendeleo yamtambulishe
Lazima jamii ya watu wa pwani wanatabia ya kutembea tembea hovyo hawa tuliagi makwao
 
Ukiwa kiongozi tena wa watu wengi ni lazima utukanwe
Kama hutaki kutukanwa Usiwe kiongozi
na hata ukiwa mwalimu ujue wanfunzi watakupa jina utake usitake kwenye makundi ya binaadamu kuna mengi
 
Sana , hao jamaa ni kucheka nao tu usoni lakini nyuma ya pazia ni watu mabaya sana
Wakati wa marehemu Mt mtikila .aliwahi sema wamepenyeza watu wao nchi nzima wanauza matunda na wanajifanya WAHA.
Basi mara nyingi nikiwahoji mikoa tofautu tofauti nimegundua ni kweli WAHA.
 
Tumekwisha, kaenda kupata coaching namna ya kuangamiza upinzani, salaleeeeeeeee
 
Mfiwa ilibidi wamtembelee,Ndege siku hizi inakaa muda wote inapashwa tayari kwa kuinuka.TOZO ziko palepale
Una hoja ya msingi sana hapa mkuu... Ni kweli ilibidi atembelewe lakini ndo kwanza kodi ya hiari inatumika bila tija!!!! Kwa mfano apo kwa Kagame kuna issue gani yenye faida kwetu kwa tz mpaka afunge safari... Wakati mwamba hata kuja kwa msiba hakuja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu Mbariki Rais wetu mpendwa Samia, tunamtakia safari yenye mafanikio baina ya Tanzania na Rwanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…