Pre GE2025 Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mnajizima data wewe na mashujaa wako kwamba nyinyi ni wanachama wa UN na kuna mikataba mingi sana mmesaini.

Kuna mambo yakifanyika ni lazima maelekezo yatolewe, nchi yako ni mwanachana. Hiyo ni tofauti na kuingiliwa
 
Amefika mbali sana , Twende tu
 
Yawezekana unasema yanayokufurahisha, lakini yaliyo mbali na ukweli.

Nchi yoyote iwe kwa sababu au bila sababu inaweza kuvunja mahusiano ya kibalozi na nchi yoyote ile, hakuna anayeweza kulizuia hilo. Lakini tendo la kuvunja uhusiano wa kibalozi maana yake ni kutangaza uadui. Na hiyo nchi ambayo balozi wake umemfurusha, unaipa nafasi ya kuwa macho zaidi na Serikali yako.

Lakini hata ukiwafukuza mabalozi wa mataifa yote, hiyo haizuii jamii ya kimataifa kuingia nchini mwako kwa lengo la kuwalinda wanaoonekana wapo kwenye hatari ya kuuawa kwa misingi ya kibaguzi.

Kuweza kuwafukuza mabalozi wote wa nchi za Ulaya, lazima uwe punguani kichaa. Hakuna kiongozi mwenye akili timamu anaweza kulifanya hilo kwani madhara yake hayawezi kupimika. Fikiria Putin, pamoja na ubabe wake wote, pamoja na nchi za Ulaya na America kuipa silaha Ukraine, lakini Putin hajathubutu kuvunja uhusiano wa kibalozi na nchi za Ulaya, wala USA.
 
Shujaa Magufuli kama binadamu Wengine alikuwa na madhaifu yake lakini katika kuwashikisha adabu Mabeberu Africa nzima walimpigia salute

Katika hilo Kazi Iendelee

Kwani Wao Wazungu ni nani? 🐼
Mabeberu wakitaka kweli, mpaka siku mtakapo acha kuomba misaada na kupokea misaada
 
M
Hii jeuri katoa wapi?
Anaanza mambo ya jiwe nae.
Mama siyo jiwe,kuna walakini katika vyombo vya ulinzi,kuna walakini pia kwa mahakama,kuna walakini kwa chama tawala,kuna walakini kwenye vyama vya siasa,kuna walakini kwa taasisi binafsi NGO za kulinda haki za binadamu.Pia kuna mapungufu makubwa ya kusimamia bunge la jumuia ya Africa Mashariki.
Lakini labda tujaribu katiba mpya ila Kenya katiba mpya haijaleta solutions licha ya kuichakata mara nyingi.
 
Huyo popoma kashashiba anajahmpah tu humu
 
Mungu mbariki huyu rais wa Tanganyika huyu mama kwa kauli hii 😭!.

Nadhani sasa ikitokea 'hata' balozi wa USA akaombwa appointment naye naona kama ikiwa delaying πŸ˜‚!.

Huyo mshauri wa rais aliyemwambia wtoke na pigo hiyo mmh, hiiiii!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…