PreGE2025 Rais Samia kwa miezi 48 tu amepeleka maji kwenye vijiji vipya 5,521 alikuta vijiji vyenye maji ni 5,258 tu OCT TUNATIKI

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa matumizi ya serikali yalivyo, ni imani yangu kwamba VALUE FOR MONEY HAIPO.
Na hata ripoti ya CAG inatudanganya,
Unawapeleka wasanii Burundi kwa pesa za serikali, what is the impact za hao watu tangu waliporudi nchini,
Kwa macho yangu wasanii wanapumulia mirijakwenye fani zaidi ni kipindi kinachokuja na kwenye vikao vyao naona siku hizi wanapata mialiko. Eti chama makini,
 
Hizo data tutaamini vipi kama ni ukweli,
Ok vipi kuhusu miradi iliyoachwa na jpm, msimamizi wake ni nani?
Nenda bus termina ya Dodoma kule nanenane, utalia,
Nenda Bus termina ya Magufuli Mbezi ni shamba la bibi,
Mabasi ya mwendo kasi kama machozi hayatakutoka,
Nenda airtanzania ni balaa,
Kumwambia au kumshauri mama hapana, mnamdanganya na ndio maana nguvu kubwa inatumika kwenye kampeni
 
Kama Rais kapeleka maji, kwa hoja hiyo hiyo Rais kawapoteza akina Mdude, Kibao etc. Vinaenda pamoja.
 
Kapeleka kwa fedha zake ?? Acha upuuzi. Si tozo zetu? Si mikopo yetu?
 
Kampeni tu hz,
Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza, hapa anajitembeza tu
 
Kodi zinazokusanywa za mama!
Mikopo ikija, ya mama!
Maendeleo yoyote yale, ni hela za mama hizo!
Bakshishi kwa Yanga na Simba, hela za mama!

MADENI YA MIKOPO? MADENI YA TAIFA!

Wajinga sana machawa wa mama Abdul!
 
Kodi zinazokusanywa za mama!
Mikopo ikija, ya mama!
Maendeleo yoyote yale, ni hela za mama hizo!
Bakshishi kwa Yanga na Simba, hela za mama!

MADENI YA MIKOPO? MADENI YA TAIFA!

Wajinga sana machawa wa mama Abdul!
Mbona akifanya vibaya mnasema ni yeye kafanya vibaya?
 
Sasa huo ni uzembe wa watu wacheche
 
Hapa mjini maji ni shida. Mabomba hayana maji je , huko vijijini mabomba yanatoa maji?
 
Analipa madeni yapi ya ndani au nje
 
Hizi takwimu ukizitafuta popote huzipati tupe web tukaangalie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…