Baba Linah
Senior Member
- Aug 29, 2021
- 113
- 171
Wakati Rais SSH anaingia madarakani mwaka 2021, ikiwa ni miaka 60 ya Uhuru, Serikali iikua imefikisha huduma ya maji vijiji 5258, lakini kufikia mwaka 2025, Serikali imefikisha huduma ya maji vijiji 10, 779 sawa na ongezeko la vijiji 5521 ndani ya miaka4. Ndio sababu Oktoba tunatik!
View attachment 3385104
Sawa, ni Kodi zetu mbona mlikuwa hampeleki siku zote
Unaona sasa, kumbe hata maji yenyewe hewa?Na hakuna maji ,wamesambaza mabomba tu
Miungu ni wengiSamia hakika ni Mpango wa Mungu
Mama anatisha sanasawa. Mitano tena.
Hotuba ya bajeti ya Wizara ya Maji ya mwezi Juni 2021 ilisema ya kwamba upatikanaji wa maji nchini umefikia kiwango cha “asilimia 72.3 vijijini na 86 mijini”. Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya 2012 na takwimu za TAMISEMI, Tanzania ilikuwa na jumla ya vijiji 12,319 mwaka 2021. Asilimia 72.3 ya 12,319 ni 8,906.6 sawa na vijiji 8,907.Wakati Rais SSH anaingia madarakani mwaka 2021, ikiwa ni miaka 60 ya Uhuru, Serikali iikua imefikisha huduma ya maji vijiji 5258, lakini kufikia mwaka 2025, Serikali imefikisha huduma ya maji vijiji 10, 779 sawa na ongezeko la vijiji 5521 ndani ya miaka4. Ndio sababu Oktoba tunatik!
View attachment 3385104
Hakuna huo ni uongo mtupu. No reform, no election. No abduction, no extrajudicial killings. Hatukutaki wewe muuaji.Wakati Rais SSH anaingia madarakani mwaka 2021, ikiwa ni miaka 60 ya Uhuru, Serikali iikua imefikisha huduma ya maji vijiji 5258, lakini kufikia mwaka 2025, Serikali imefikisha huduma ya maji vijiji 10, 779 sawa na ongezeko la vijiji 5521 ndani ya miaka4. Ndio sababu Oktoba tunatik!
View attachment 3385104
Anatisha kwa kuteka na kuua.Mama anatisha sana
Kodi za watanzania ndizo zimepeleka maji ma mikopoWakati Rais SSH anaingia madarakani mwaka 2021, ikiwa ni miaka 60 ya Uhuru, Serikali iikua imefikisha huduma ya maji vijiji 5258, lakini kufikia mwaka 2025, Serikali imefikisha huduma ya maji vijiji 10, 779 sawa na ongezeko la vijiji 5521 ndani ya miaka4. Ndio sababu Oktoba tunatik!
View attachment 3385104
Na kukopa .Anatisha kwa kuteka na kuua.
Kuna chama kimewahi kuongoza zaidi ya CCMSawa, ni Kodi zetu mbona mlikuwa hampeleki siku zote
Waongo hawa mkuuHotuba ya bajeti ya Wizara ya Maji ya mwezi Juni 2021 ilisema ya kwamba upatikanaji wa maji nchini umefikia kiwango cha “asilimia 72.3 vijijini na 86 mijini”. Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya 2012 na takwimu za TAMISEMI, Tanzania ilikuwa na jumla ya vijiji 12,319 mwaka 2021. Asilimia 72.3 ya 12,319 ni 8,906.6 sawa na vijiji 8,907.
Kama vijiji 8,907 tayari vilikuwa na maji mwaka 2021, hizi takwimu zako zina walakini mkubwa.
Wakati Rais SSH anaingia madarakani mwaka 2021, ikiwa ni miaka 60 ya Uhuru, Serikali iikua imefikisha huduma ya maji vijiji 5258, lakini kufikia mwaka 2025, Serikali imefikisha huduma ya maji vijiji 10, 779 sawa na ongezeko la vijiji 5521 ndani ya miaka4. Ndio sababu Oktoba tunatik!
View attachment 3385104