Sio kweliAnatisha kwa kuteka na kuua.
Police wanateka, wanalawiti, wanabaka na wanauwa wananchi wasio na hatia. Mkuu wa nchi amenyamaza na anaendelea kuruhusu hivi vitendo vya kihalifu. Sasa wewe unatetea nini??????Sio kweli
Mpaka tuzunguke mguu kwa mguu,kijiji kwa kijiji tuyaone hayo maji. Kiukweli,Tomaso alikosea Sana kumfanyia utomaso Yesu(Kweli),utomaso unawafaa sana wanasiasa hasa wa hapa Tz!Wakati Rais SSH anaingia madarakani mwaka 2021, ikiwa ni miaka 60 ya Uhuru, Serikali iikua imefikisha huduma ya maji vijiji 5258, lakini kufikia mwaka 2025, Serikali imefikisha huduma ya maji vijiji 10, 779 sawa na ongezeko la vijiji 5521 ndani ya miaka4. Ndio sababu Oktoba tunatik!
View attachment 3385104
Vijiji vipi hivyo?Wakati Rais SSH anaingia madarakani mwaka 2021, ikiwa ni miaka 60 ya Uhuru, Serikali iikua imefikisha huduma ya maji vijiji 5258, lakini kufikia mwaka 2025, Serikali imefikisha huduma ya maji vijiji 10, 779 sawa na ongezeko la vijiji 5521 ndani ya miaka4. Ndio sababu Oktoba tunatik!
View attachment 3385104
Hebu elezea nyie CHADEMA mkishinda mtafanya nini? Au mrafukuza Polisi wote?Ni mikoa gani hayo maji ya sa100 yanapelekwa? Kuna sehemu kuunganishiwa maji ni kama vile unataka kufanya biashara ya mihadarati, unahitaji uwe na connection kubwa na utoe rushwa kwelikweli. Mfano mzuri ni Manispaa ya Morogoro kata ya Mkundi. Wanaoishi hii sehemu wana moyo sana.
Sio kweli ununuzi wa mitambo ya kuchimbia Visima matokeo ndio hayoVijiji vipi hivyo?
Serikali imefeli sana kwenye huduma ya maji. Watendaji wanampelekea mama taarifa za uongo.
TunatikiWakati Rais SSH anaingia madarakani mwaka 2021, ikiwa ni miaka 60 ya Uhuru, Serikali iikua imefikisha huduma ya maji vijiji 5258, lakini kufikia mwaka 2025, Serikali imefikisha huduma ya maji vijiji 10, 779 sawa na ongezeko la vijiji 5521 ndani ya miaka4. Ndio sababu Oktoba tunatik!
View attachment 3385104
Hivyo ni vijiji gani vina maji? Kijijini kwetu maji hakuna, anakotoka bibi mzaa mama maji hakuna, anakotoka bibi mzaa baba maji hayapo, alikoolewa shangazi yangu namba moja.....Maji hakuna, alikoolewa shangazi mwingine tena hakuna maji, kwa mjomba wangu.....maji hayapo, yaani hayajaunganishwa (Huko kote nakosema ni mikoa tofauti) Nimemuuliza rafiki yangu kama kwao kuna maji yameungwa....Jibu nililopata ni hakuna maji yaliyoungwa na haijulikani wapi yalipo. SASA HIVI VIJIJI VILIVYOUNGWA MAJI, VIPO NCHI GANI? Msaada tafadhali.Sio kweli
Wajibu wa Idara ya maji wanalala miaka yote ikitokea ujio wa kiongozi mkubwa ndio wanajifanya Wanafsnya kazi.Wakati Rais SSH anaingia madarakani mwaka 2021, ikiwa ni miaka 60 ya Uhuru, Serikali iikua imefikisha huduma ya maji vijiji 5258, lakini kufikia mwaka 2025, Serikali imefikisha huduma ya maji vijiji 10, 779 sawa na ongezeko la vijiji 5521 ndani ya miaka4. Ndio sababu Oktoba tunatik!
View attachment 3385104
Sio kweli hawa ni wapumbafuWaambie ukweli Hawa wapumbavu!
Vijiji ni vingi vyenye majiHivyo ni vijiji gani vina maji? Kijijini kwetu maji hakuna, anakotoka bibi mzaa mama maji hakuna, anakotoka bibi mzaa baba maji hayapo, alikoolewa shangazi yangu namba moja.....Maji hakuna, alikoolewa shangazi mwingine tena hakuna maji, kwa mjomba wangu.....maji hayapo, yaani hayajaunganishwa (Huko kote nakosema ni mikoa tofauti) Nimemuuliza rafiki yangu kama kwao kuna maji yameungwa....Jibu nililopata ni hakuna maji yaliyoungwa na haijulikani wapi yalipo. SASA HIVI VIJIJI VILIVYOUNGWA MAJI, VIPO NCHI GANI? Msaada tafadhali.
Ujinga ndo kama hivi sasaWakati Rais SSH anaingia madarakani mwaka 2021, ikiwa ni miaka 60 ya Uhuru, Serikali iikua imefikisha huduma ya maji vijiji 5258, lakini kufikia mwaka 2025, Serikali imefikisha huduma ya maji vijiji 10, 779 sawa na ongezeko la vijiji 5521 ndani ya miaka4. Ndio sababu Oktoba tunatik!
View attachment 3385104
Kwanini afu tano,kwani tuna vijiji vingapi hapa tanzagiza,na vingapi maji wanakunywa tu tena machafu mvua inapo nyesha?Wakati Rais SSH anaingia madarakani mwaka 2021, ikiwa ni miaka 60 ya Uhuru, Serikali iikua imefikisha huduma ya maji vijiji 5258, lakini kufikia mwaka 2025, Serikali imefikisha huduma ya maji vijiji 10, 779 sawa na ongezeko la vijiji 5521 ndani ya miaka4. Ndio sababu Oktoba tunatik!
View attachment 3385104
NasisitizaSio kweli ununuzi wa mitambo ya kuchimbia Visima matokeo ndio hayo