PreGE2025 Rais Samia kwa miezi 48 tu amepeleka maji kwenye vijiji vipya 5,521 alikuta vijiji vyenye maji ni 5,258 tu OCT TUNATIKI

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
ilani ya ccm ilikuwa kufikia 2025 maji vijijini iwe 80% na mijini iwe 100%,tuambie mmefikia percentage ngapi acha mbwembwe!!!!!
 
Deni halifungamanishwi na mtu linaitwa Deni la taifa ila pesa hizo zikijenga hata choo zinaitwa za Fulani.
 
Mmekopa weee mkazugia kwenye vimaji na madarasa huku za ndani zikiliwa kwa urefu wa kamba ya walaji
 
Ni mjinga mmoja ndio anaweza kuamini vitu kama hivi, kama Mwanza jiji limezungukwa na ziwa hakuna maji hicho kijiji cha singida ndio watapata maji
 
Tungekupatia wewe Kodi zote za nchi unheshindwa kufanya hicho
 
Safi
 
Kazi na utu tunasonga mbele
 
NRNE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…